Kutoa Au Kuomba Sadaka
Kitabu hiki cha ‘Kutoa na Kuomba Sadaka’ inaelezea faida ya kutoa Sadaka kwa kina na maelezo yote ni sahihi kwa sababu ni ahadith za Mtume (s) na Maimamu a.s.
Ahadith yaani ni maneno na vitendo ambavyo Mtume Muhammad (s) alikuwa akisema au akifanya katika kipindi chake cha utume na baadaye zimefuatwa na Maimamu a.s.
Mwandishi wa awali amefanya utafiti pana na kisha akai andika vizuri sana kwa muhtasari.
Wafasiri nao wameweza kuitafsiri na kuleta maana kama ya awali kadri iwezekanavyo.
Kitabu hiki ni ya manufaa sana kwa ajili ya wasomaji.
Translator(s):
Category:
Miscellaneous information:
Kutoa Au Kuomba Sadaka
Kimeandikwa na Sheikh Hurr ‘Aamili
Kimekusanywa na kutarjumiwa na Amiraly M. H. Datoo
BUKOBA – TANZANIA
Featured Category:
- 2307 views