Kwa Nini Mtume Muhammad (s) Alioa Wake Wengi

Kitabu hiki kidogo kiitwacho ‘Kwa Nini Mtume Muhammad (s) Alioa Wake Wengi’
kimeandikwa kumtakasa mtukufu Mtume Muhammad (s) na kisingizio au lawama ya kuwa na tamaa za kiashiki na mpenda wanawake.

Mwandisihi amefafanua kwa mantiki kuwa ndoa hizo zilikuwa na sababu maalum na ameweza kubatilisha tuhuma za uongo za maadui wa Islam ambao walijaribu kupunguza hadhi ya Mtume (s).

Inatarajiwa kuwa Wasomaji wataridhika na watakinai na majibu za mantiki zilizotolewa na mwandishi.

Translator(s): 
Miscellaneous information: 
Kwa Nini Mtume Muhammad (s) Alioa Wake Wengi Kimeandikwa na Jumuiya ya Dar-Rahe-Haq Kimetafsiriwa na Maalim Dhikiri Omari Kiondo Kimechapishwa na Bilal Muslim Mission of Tanzania S.L.P. 20033 Dar es Salaam - Tanzania