Hadithi ya Mtume [s] na Maimamu [a]
Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho al-Haqiqatu ‘dh-Dha’i’ah kilichoandikwa na Sheikh Mu’tasim Sayyid Ahmad. Sisi tumekiita, Ukweli Uliopotea.
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la: "The role of Ahlul Bait (as) in Preserving the teaching of Islam" Tarjuma ya Mulla Asghaar M. M.
Hadith za Mtume (S) katika vitabu vyote vya sahihi zinasema kwamba warithi wake watakuwa 12.
Makala hii ina eleza kwa ufupi matukio yaliyo tokea katika maisha ya Imamu Ja’afar as-Sadiq (a.s.) ambaye ni mrithi wa sita wa Mtume (s.a.w.w).