Companions - History & Politics

Dalili Za Siku Ya Qayama

Katika hadithi hii Mtume Muhammad anaelezea Salman Farsi kuhusu dalili ya Hukumu.

Hekaya Za Bahlul Mwenye Busara

Katika kuona haja ya kupata nasiha na mawaidha nimeonelea vyema kutumia mbinu hii ya kuchapa nasiha na mawaidha katika sura ya hekaya za Bahlul.

Dua Iliyokubaliwa

Hadithi fupi ya Amru bin Jumuuh na vita ya Uhud.

Mawahhabiyah na Wauaji wa Imamu Husayn (a.s.)

Makala hii awali imetolea dalili ya Utukufu wa wajukuu wa Mtume Muhammad s.a.w.w, khususan Imamu Husayn a.s.

Tadwin Al Hadith

Hadithi ni chanzo cha pili muhimu cha Sheria na Hukmu katika uislam.

Swali La Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy Na Jibu La Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf

Makala hii inajibu swali la mwanachuoni maarufu wa Afrika Mashariki kuhusu hadhi ya masahaba wa Mtume (s.a.w.w.).

587 0

Abu Dharr

Kitabu hiki kinahusu maisha ya sahaba mkubwa na mashuhuri; Abudhar (Jundab bin Junadah).

11 0