General - Belief & Creed

Visa Vya Kweli

Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Anecdotes. Sisi tumekiita, Visa vya Kweli. Kitabu hiki kime- andikwa na Sayyid Ali Akbar Sadaaqat.

Visa Vya Wachamungu

Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Anecdotes of Pious Men kilichoandikwa na Shahid Ayatullah Murtadha Mutahhari. Sisi tumekiita, Visa vya Wachamungu.

Upendo Katika Ukristo Na Uislamu

Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la: “Love in Christianity and Islam.” Sisi tumekiita: “Upendo katika Ukirsto na Uislamu.

Haja Ya Dini

Katika kijitabu hiki Allamah Sayyed Saeed Akhtar Rizvi, kwanza anaeleza Dini ni nini, kisha anaelezea faida zake, anakanusha hoja za wale wasemao kuwa dini ni kitu kipingacho sayansi n.k.

Ukweli Wa Shia Ithna Ashariyyah

Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu, kwa jina la: Haqiqat Shi’a Ithna-Asahariyyah kilichoandikwa na, Dr. ‘Asad Wahid Al-Qaasim.

Al-Kashif-Juzuu Ya Tatu

Kitabu hiki kilichoko mikononi mwako hivi sasa ni juhudi ya miaka mingi sana ya watu waliojitolea kuona kazi hii imefanikiwa bila ya kumsahau Marhum Abu Muhammad wa London.

Ukweli Uliopotea - Sehemu ya Nne

Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho al-Haqiqatu ‘dh-Dha’i’ah kilichoandikwa na Sheikh Mu’tasim Sayyid Ahmad. Sisi tumekiita, Ukweli Uliopotea.

Maadili Ya Islam


Hii ni makala ya maadili ya Uislamu

Maadili Ya Islam 

Madhehebu Ya Kishia

Madhehebu Ya Kishia

2,272 0

Ongeza Maarifa Yako!!! Je, Unafahamu Madhehebu Ya Shia Ismailiya?

Ongeza Maarifa Yako!!! Je, Unafahamu Madhehebu Ya Shia Ismailiya?

1,894 0

Mashairi ya Masaibu ya Karbala

Kitabu hiki kina mashairi yaliyoandikwa juu ya janga ya karbala.

1,680 0

Muongozo wa Wasomao

Hii Kitabu imechanganya maudhui nyingi tofauti kwa muhtasari. Imeelezea na kufufunua yaliofichikana au kuhafimika kimakosa katiak tarikh na kujibu na ayah tofauti za Msahafu na Hadithi.

Mfungwa Adhimu - Imam Hasan al-Askari (a.s.)

Hadith za Mtume (S) katika vitabu vyote vya sahihi zinasema kwamba warithi wake watakuwa 12.

Msingi

Hii Kitabu itasaidia kuzungumza maada ya Dini katika hali tofauti tofauti za maisha.

Dini maana yake mfumo makhususi wa imani na ibada. Dini katika sura tofauti za maisha yetu.

460 0

Tawba

Kitabu hiki kinazungumzia Tawba katika Islam, fadhila zake na faida zake katika maisha ya mwanadamu. Pia kinajadili jinsi ya kutubu tulivyofundishwa na Quran, Mtume Muhammad (SAW) na Aimma.