Kitabu hiki anaelezea Jannat na Jahannam.
Hii ni tafsiri ya kijitabu kilichoandikwa kwa lugha ya Kiarabu, na Ayaatullah Seeyyid Muhammed Mahdi Shirazi wa Karbala.
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: kilichoandikwa na Sheikh Ja'far al-Subhani.
Kitabu hiki cha ‘Kutoa na Kuomba Sadaka’ inaelezea faida ya kutoa Sadaka kwa kina na maelezo yote ni sahihi kwa sababu ni ahadith za Mtume (s) na Maimamu a.s.
Hii Kitabu imeandikwa kwakuelemisha kuhusu Ndoa ya Mu'taa kama ndoa sahihi.
Nakuelezea kutoka Msahafu na Hadithi.
Makala hii imekusanya aya za Qur’ani na Hadithi nyingi na sahihi za makatazo ya Riba katika uislamu.