General - Quran & Hadith

Kukusanya Sala Mbili

Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: "Al-Jam’u Bayna Salaatayn" Sisi tumekiita: "Kukusanya Sala mbili." Kitabu hiki, "Kusanya Sala mbili" ni matokea ya uta

Ja'far Subhani 4,433 0

Kupaka Juu Ya Khofu

Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kwa jina la: "Al-Mas’hu ‘Ala ‘l-Khuffayn" Sisi tumekiita: "Kupaka Juu ya Khofu."

Ja'far Subhani 3,654 0

Mwenge Wa Haki

Makala hii ni mazungumzo na majadiliano kati ya mtawala (wa ukoo wa Abbassid) Ma'mun al-Rashid na wanachuoni mashuhuri katika zama hizo juu ya "ubora wa Seyyidna Ali bin Abi Talib (a.s) ikilingani

Wanaopendwa Na Wasiopendwa Na Allah


Wanaopendwa Na Wasiopendwa Na Allah
Makala haya yametarjumiwa na kushereheshwa na:

532 0

Watu Wa Ras

Watu Wa Ras
Hadithi kutoka Qur’an: Hadithi no.2

Uharamisho wa Uwongo (Juzuu ya Pili)

Makala hii ni sehemu ya pili ya Maudhui ‘kusema uwongo’ na imekusanya hadithi na Aya za Qur’ani zinazoelezea adhabu pamoja na madhara yanayojitokeza katika jamii kwa kusema uwongo.

200 0

Uharamisho wa Uwongo, Juzuu ya Kwanza

Makala hii inaeleza madhara ya kusema uongo na pia kwa kiasi gani msema uongo anadhalilika. Visa vilivyo elezwa vinatufundisha kuwa ni hasara kubwa kusema uongo.

195 0