Hijab (Islamic Modest Dress) - Laws & Worship

Hijab

Hili ni vazi rasmi kwa wanawake wa ki-Islamu kama ilivyoainsihwa katika Qur’an Tukufu, na ni amri sahihi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.

Umuhimu wa Hijab

Kujifunika kwa mwanamke wa Kiislamu ni jambo la muhimu sana lakini jamii kwa ujumla hu-uliza maswali mengi kuhusu kwa nini mwanamke wa Kiislamu huvaa hijaab.