Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjumi ya kitabu cha Kiingereza kwa jina la: The Martyr For Mankind. Sisi tumekiita: Shahidi Kwa Ajili Ya Ubinadamu.
Kitabu hiki kimeandikwa kwa lugha ya Urdu na Mtukufu Sayyadul Ulama Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb, Mujtahid wa huo Kikuu cha Lucknow, Uhindi.
Kitabu hiki kina mashairi yaliyoandikwa juu ya janga ya karbala.
Kitabu hiki cha "Maombolezo ya Kifo cha Imam Husein (a.s.)" ni kati ya vitabu vichache ambavyo vimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, ambacho kinaeleza nini hasa kilichotokea kabla na wakati wa tuki
Makala hii awali imetolea dalili ya Utukufu wa wajukuu wa Mtume Muhammad s.a.w.w, khususan Imamu Husayn a.s.