Imam Ali - History & Politics

Nahjul Balaghah - Juzuu ya Kwanza

Kitabu kilichoko mkononi mwako ni tarjumi kutoka lugha ya Kiarabu ya kitabu maarufu katika ulimwengu wa Kiislamu, Nahju 'l-Balaghah.

13,430 0

Ukweli Uliopotea - Sehemu ya Pili

Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho al-Haqiqatu ‘dh-Dha’i’ah kilichoandikwa na Sheikh Mu’tasim Sayyid Ahmad. Sisi tumekiita, Ukweli Uliopotea.

Nahjul Balaghah - Juzuu ya Pili

Kitabu kilichoko mkononi mwako ni tarjumi kutoka lugha ya Kiarabu ya kitabu maarufu katika ulimwengu wa Kiislamu, Nahju 'l-Balaghah.

7,052 0

Hukumu za Kusisimua Zilizotolewa na Imam Ali [a]


Kitabu hiki anaelezea hukumu ya kisheria na Imam Ali (as)

Semi Za Imam Ali [a.s.]

Semi Za Imam Ali [a.s.]

*****

4,324 0

Maadili ya Kiislamu katika Vita


Hii ni makala ya maadili ya Kislamu katika Vita.
_____________________________________________________________________

Sifa Za Wamchao Allah (swt)

Sifa Za Wamchao Allah (swt)

Makala haya yamekusanywa na kutarjumiwa na:
Amiraly M.H. Datoo (PO Box 838 Bukoba, Tanzania)

Wito Kwa Waislamu Kuuendea Ukweli

Makala haya yanaeleza kwa kina kuwa mrithi wa haki wa Mtume (s.a.w.w.) baada yake ni nani na dalili zote zime tolewa kutoka vitabu vya Sahihi na vinavyo tegemewa na kurejewa.

Mwenge Wa Haki

Makala hii ni mazungumzo na majadiliano kati ya mtawala (wa ukoo wa Abbassid) Ma'mun al-Rashid na wanachuoni mashuhuri katika zama hizo juu ya "ubora wa Seyyidna Ali bin Abi Talib (a.s) ikilingani

Roho ya Matumaini Sayyidina 'Ali bin Abi Talib (a.s.)

Makala hii ni Maelezo ya jumla juu ya maisha ya Imam Ali bin Abi Talib. Mwandishi ame gusia matukio yote ya muhimu katika maisha ya Imam (a.s).

Usawa

Kijitabu hiki kinazungumzia jinsi Imam Ali alivyokuwa anaonyesha usawa kati ya watu wote bila kujali rangi au utajiri wa mtu.