Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho From Marriage to Parenthood. Sisi tumekiita, Kuanzia Ndoa Hadi Kuwa Wazazi.
Katika Uislamu ndoa ni jambo lililokokotezwa sana kutokana na umuhimu wake katika kuijenga na kuiendeleza jamii.
Kitabu hiki kidogo kiitwacho ‘Kwa Nini Mtume Muhammad (s) Alioa Wake Wengi’
Hii Kitabu imeandikwa kwakuelemisha kuhusu Ndoa ya Mu'taa kama ndoa sahihi.
Nakuelezea kutoka Msahafu na Hadithi.