Zakat and Khums (Charity) - Laws & Worship

Dhambi Kuu La Kutokulipa Zaka, Khums Na Sadaqah

Sadaqah inalipia madeni na kuongezea neema kwetu, Sadaqah inatuepusha na mauti katika hali mabya.

Kutoa Au Kuomba Sadaka

Kitabu hiki cha ‘Kutoa na Kuomba Sadaka’ inaelezea faida ya kutoa Sadaka kwa kina na maelezo yote ni sahihi kwa sababu ni ahadith za Mtume (s) na Maimamu a.s.

Dhambi Kuu La Kutokulipa Zaka, Khums na Sadaqah

Kitabu hiki kinazungumzia wajibu wa Kiislamu wa malipo ya Zakah na Khums, msingi wake katika Qur'an na Dini, mipaka yake kisheria, na adhabu kwa mtu asietoa Zakah na Khums ziilizofaradhishwa.