Mambo Yanayomhusu Maiti

Maelezo yote kuhusu mambo anayofanyiwa mtu anapokata roho na baadaye namna ya kumwosha na kadhalika, kwa mujibu wa madhehebu ya Shia ithnaashariyya yamo katika kitabu hiki. Kila mwislamu anashauriwa aisome

Category: 
Miscellaneous information: 
Mambo Yanayomhusu Maiti Kimetungwa na Sayyid Muhammad Mahdi al-Musawy al-Shushtari Kimetolewa na Bilal Muslim Mission of Tanzania S.L.P. 20033 Dar es Salaam - Tanzania