Maombolezo Ya Kifo Cha Imam Husein (a.s.)

Kitabu hiki cha "Maombolezo ya Kifo cha Imam Husein (a.s.)" ni kati ya vitabu vichache ambavyo vimetafsiriwa kwa lugha ya Kiswahili, ambacho kinaeleza nini hasa kilichotokea kabla na wakati wa tukio la Karbala.

Wasomaji wa kitabu hiki watafaidika kwa kuelewa ‘lengo la safari ya Imam Husein (a.s) kutoka Madina kwenda Karbala’ mpaka kuuliwa kwake shahidi na masahaba zake.

Translator(s): 
Miscellaneous information: 
Maombolezo Ya Kifo Cha Imam Husein (a.s.) Kimeandikwa na: Sayyid Abdul Husain Sharafuddin Mtarjumi: Musabbah Shaban Kimetolewa na: Ahlul Bayt (a.s.) Assembly of Tanzania S.L.P. 75215, Dar es Salaam - Tanzania