Mashairi ya Masaibu ya Karbala

Kitabu hiki kina mashairi yaliyoandikwa juu ya janga ya karbala.
Washairi wameandika kwa ustadi sana matukio yaliyotokea Karbala ambayo huleta machozi machoni mwetu. Msomaji lazima ataguswa na mashairi haya ya kusikitisha na kuhuzunisha.

Topic Tags: 
Miscellaneous information: 
Mashairi ya Masaibu ya Karbala Kimetolewa na Ahlul Bayt [a.s.] Assembly of Tanzania P O Box 75215 Dar es Salaam - Tanzania Kimechapwa na Bilal Muslim Mission of Tanzania S.L.P. 20033 Dar es Salaam – Tanzania