Qurani tukufu ina eleza visa vya mitume pamoja na visa vingine vya kweli kama vile ya ‘Yajuj na Majuj’, mtajo wa malaika Harut na Marut na vinginevyo. Mwandishi wa kitabu hiki amefafanua baadhi ya visa hivi ambavyo vitamfanya msomaji avutiwe sana.