Mawahhabiyah na Wauaji wa Imamu Husayn (a.s.)

Makala hii awali imetolea dalili ya Utukufu wa wajukuu wa Mtume Muhammad s.a.w.w, khususan Imamu Husayn a.s. Kisha inaeleza kuwa Mawahhabi wanawatukuza na kuwaona ni waaminifu hawa waliomuua Imam Husayn a.s ambaye ni mjukuu wa Mtume Muhammad s.a.w.w.
Inasikitisha na inastajaabisha kujua kuwa wauaji wa Mjukuu wa Mtume s.a.w.w. vipi watukuzwe na kupewa sifa ya kuwa ni waaminifu.
Tuombe sana Mwenyezi Mungu atuongoze na atupe Ufahamu wa kuelewa Ukweli na atupe Hekima kuelewa tofauti baina ya watu wema na wabaya.

Translator(s): 
Miscellaneous information: 
Mawahhabiyah na Wauaji wa Imamu Husayn (a.s.) Kimeandikwa na Sayyid Saeed Akhtar Rizvi Kimetafsiriwa na Maalim Dhikiri Omari Kiondo Kimechapishwa na Bilal Muslim Mission of Tanzania P O Box 20033 Dar es Salaam - Tanzania