Kitabu hiki kina eleza kwa ufupi kuhusu Imani-itikadi ya mashi’a, pia kinajibu tuhuma wanazoelekezwa wafuasi wafuasi wa Ahlul bayt a.s. yaani mashi’a. Mada zilizojadiliwa zinaeleweka na msomaji wa kiwango chochote cha elimu. Vitabu vilivyo tumiwa kutoa ushahidi (wa majibu) zinakubaliwa na Madhehebu zote na rejea zimenukuliwa kutoka vitabu sahihi vya Kisunni.