Misingi ya Imani ya mashia imeelezwa katika vitabu vya pande zote yaani katika vitabu viaminiwavyo na Masunni na pia vya Kishia. Kwa hiyo kama mtu yeyote akisoma vitabu kwa umakini na bila kupendelea upande wowote, ataona njia ya haki inaelekea wapi.

Mwandishi wa kitabu hiki ameandika hayo katika kitabu chake na akazitaja rejea zote.

Msomaji atafaidika sana na yaliyomo ndani ya kitabu hiki.