Mfungwa Adhimu - Imam Hasan al-Askari (a.s.)

Hadith za Mtume (S) katika vitabu vyote vya sahihi zinasema kwamba warithi wake watakuwa 12. Hapa tuna historia fupi na sahihi ya Imam wa kumi na mmoja ambayo inaeleza jinsi yeye alishughulikia hali ya wasiwasi katika kipindi chake kifupi cha uimamu na pia ameweza kujenga mahusiano mazuri sana na Ummah. Tunapata mafunzo mengi kwa kusoma maisha yake.

Miscellaneous information: 
Mfungwa Adhimu - Imam Hasan al-Askari (a.s.) Kimeandikwa na Sayyid Ali Naqi Saheb Kimetafsiriwa na Bwana J. J. Shou Kimetolewa na Kimechapishwa na Bilal Muslim Mission of Tanzania S.L.P. 20033 Dar es Salaam – Tanzania