Muongozo wa Wasomao

Author(s): 

Hii Kitabu imechanganya maudhui nyingi tofauti kwa muhtasari. Imeelezea na kufufunua yaliofichikana au kuhafimika kimakosa katiak tarikh na kujibu na ayah tofauti za Msahafu na Hadithi. Hii Kitabu itasaidia kuelewa ukweli wa vitu muhimu katika Uislamu kama mambo ya Wahy na kadhalika.

Miscellaneous information: 
Muongozo wa Wasomao Kimeandikwa na Omar Jumaa Mayunga Kimechapishwa na S.L.P. 70005 Dar es Salaam - Tanzania