Mwanamke Mshiriki wa Maisha

Mwandishi wa makala hiyo anaeleza kuwa kimaumbile, mwanamme na mwanamke hawa wezi kufanya kazi za aina moja bali wamepangiwa majukumu mbali mbali na muumba. Kwa hiyo ni vyema kila mmoja ashike wadhifa yake ili kuboresha jamii na vizazi vijavyo. La sivyo, jamii haitaweza kupata maendeleo ya kiroho bali itadidimia hata kiafya na kimawasiliano.