Makala hii ina eleza kwa ufupi matukio yaliyo tokea katika maisha ya Imamu Ja’afar as-Sadiq (a.s.) ambaye ni mrithi wa sita wa Mtume (s.a.w.w).

Kikubwa ni ukoo wa Bani Abbasi kuangusha utawala wa Bani Umayyah na kutawala Ummah wa kiislamu. Ahadi yao ilikuwa kurudusha haki ya utawala kwa warithi wa Haki lakini hawaku fanya hivyo, walitawala wenyewe na pia walifanya dhuluma nyingi dhidi ya Bani Hashim yaani Ukoo wa Mtume (s.a.w.w).
Na Hatimaye waliwa ua kwa kuwapa sumu.