Table of Contents

6. Utangulizi Kwa ‘Protokali Za Kiyahudi’

Nyaraka hizi mara nyingi sana zimetajwa na hao wenye kuvutiwa na nad­haria ya nguvu za Kiyahudi kwa dunia yote badala ya shughuli halisi ya nguvu hizo hapa duniani, leo ni hizo makala 24 zijulikanazo kama “Protokali za wazee wenye kuelimika wa zayuni.”

Protokali zimekuwa na mvuto mkubwa Ulaya, zimekuwa kituo cha dhoru­ba muhimu ya maoni nchini Uingereza, lakini hazizungumzwi sana nchini Marekani.

Ambaye kwa mara ya kwanza alizipatia majina nyaraka hizi zenye jina la “Wazee walioelimika wa Zayuni” hajulikani. Itawezekana bila kulika kukubwa kwa nyaraka ili kufuta dokezo zote za uandishi wa Kiyahudi, na bado ubakishe mambo yote ya mpango mkubwa kwa ajili ya kutiisha ulimwengu ambao kamwe haujajulikana kwa watu.

Hata hivyo kuondosha dokezo zote za uandishi wa kiyahudi itakuwa ni kuleta idadi ya mikanganyiko ambayo haipo kwenye Protokali katika muundo wao wa sasa.

Madhumuni ya mpango uliofichuliwa kwenye Protokali ni kudhoofisha mamlaka zote ili kwamba mamlaka nyingine mpya iliyo katika muundo wa udikiteta uweze kusimamishwa. Mpango kama huo hutokea kwenye tabaka la watawala ambao tayari lilikuwa na mamlaka ingawa unaweza kutokana na watu wanaopenda utawala huria.

Lakini wapenda utawala huria hawakubali udikiteta kama sharti la msingi wanalotafuta. Waandishi wanaweza kutambulika kama kundi la wachochezi wa kifaransa kama lile lililokuwepo wakati wa mapinduzi ya Ufaransa na lilikuwa na kiongozi wake mwenye sifa mbaya Duc d’Orleans, lakini hii ingehusisha mkanganyiko, kati ya ukweli kwamba wachochezi hao wamefariki, na ukweli kwamba mpango uliotangazwa kwenye Protokali hizi katika kutekelezwa kwa uimara, si tu Ufaransa laki­ni katika Ulaya yote na kufahamika vya kutosha Marekani.

Katika muundo wao wa sasa ambao hushuhudia kuwa kwao muundo wa kiasili, hakuna mkanganyiko. Shutuma za uandishi wa Kiyahudi huonekana za muhimu kwenye uthabiti wa mpango huo.

Kama nyaraka hizi zilighushiwa ambapo watetezi wa Kiyahudi hudai hivyo, waliozighushi labda wangejitahidi kufanya uandishi wa Kiyahudi kuwa wazi mno hivyo kwamba makusudio yao ya kukataa Usemiti yange­gundulika kwa urahisi sana. Lakini neno ‘Myahudi’ limetumiwa mara mbili tu. Baada ya mtu kusoma zaidi ya msomaji wa wastani kwa kawaida hujali kuyaendea mambo kama hayo, mtu hukutana na mpango wa kuanzishwa kwa udikiteta wa ulimwengu, na ni hapo tu ndipo inafanywa wazi ni nasaba gani angepaswa kuwa.

Lakini katika nyaraka zote hakuna shaka iliyoachwa kuhusu watu ambao dhidi yao mpango huo umewalenga. Mpango huu haukulengwa dhidi ya mtaji kama inavyoonekana.

Masharti ya wazi kabisa ya sheria hufanywa kwa ajili ya uandikishaji wa udikiteta, mtaji na serikali kwa ajili ya utekelezaji wa mpango huo. Umelengwa dhidi ya watu wa dunia ambao huitwa ‘watu wa mataifa’.

Ni kutajwa mara kwa mara kwa ‘watu wa mataifa’ ambako kwa hakika hutoa uamuzi wa madhumuni ya nyaraka.
Mipango mingi ya ‘wanaopendelea maendeleo’ ya aina ya uharibifu inalenga katika kuandikisha watu kwa ajili ya kudumazwa, na kuchanganyikiwa kiakili na kwa hiyo kuwatawala kwa hila. Vyama mashuhuri vya aina ya ‘wanaopendelea mabadiliko’ ni vya kutiwa moyo, falsafa zote zenye vurugu kwenye dini, uchumi, siasa na maisha ya nyum­bani zinatakiwa kupandikizwa na kumwagilia maji kwa madhumuni ya kuvunja mshikamano wa kijamii, na mpango bainifu ambao umewekwa humo na kuweza kupitishwa humo bila kufahamika, na kisha watu wataon­gozwa nawo wakati uwongo wa falsafa hizi unaoneshwa.

Fomiula ya hotuba haitakuwa ‘sisi Wayahudi tutafanya hivi,’ lakini ‘watu wa mataifa watafanywa wafikirie na kufanya mambo haya.’ Isipokuwa kwa mifano michache kwenye Protokali za mwisho, ni neno moja tu la kimbari lililo bainifu limetumika, nalo ni ‘watu wa mataifa.’

Tofauti Za Kimbari

Kuonesha ishara ya kwanza ya aina hii inakuja kwenye Protokali ya kwan­za kwa njia hii:

“Sifa kubwa za watu – uaminifu, na uwazi – hayo ni mauovu ya kimsingi katika siasa, kwa sababu kwa hakika zaidi huondoa kwenye utawala na kwa yakini zaidi kuliko afanyavyo adui mwenye nguvu sana. Sifa hizi ni sifa za utawala wa watu wa mataifa (wasio Wayahudi), kwa hakika sisi hatuwezi kuongozwa nao.”

Na tena: ‘Kwenye magofu ya udikiteta wa kurithiana wa watu wa mataifa (wasio Wayahudi) tumetengeneza udikiteta wa tabaka la wasomi wetu, na juu ya yote udikiteta wa fedha. Tumeanzisha msingi wa huu udikiteta mpya juu ya msingi wa matajiri ambao tunawadhibiti, na kwa sayansi ambayo inaon­gozwa na watu wetu wenye busara.’

Tena: ‘Tutalazimisha mishahara kupanda ambayo, hata hivyo haitakuwa na faida kwa wafanyakazi, kwani wakati huo huo tutasababisha kupanda kwa bei za vitu muhimu, na kusingizia kwamba hiyo ni kwa sababu ya kupungua kwa kilimo na ufugaji wa mifugo.

Pia kwa ustadi na kwa kina tutadhoofisha vyanzo vya uzalishaji kwa kuingiza fikira za vurugu kwa wafanyakazi, na kuwatia moyo kunywa pombe, wakati huo huo tutachukua hatua za kuwaswaga wasomi wote wasio Wayahudi waondoke kwenye nchi.’

(Mghushaji pamoja na upinzani wa – kijicho cha Usemiti huenda aliandi­ka hili wakati wowote katika kipindi cha miaka mitano (5) iliyopita, lakini maneno haya yalikwishapigwa chapa mapema tangu mwaka 1905, nakala yake ikiwemo ndani ya Jumba la Makumbusho la Uingereza tangu 1906, na yalisambazwa nchini Urusi miaka kadhaa kabla yake.) Nukta hiyo hapo juu inaendelea:

‘Hivyo kwamba hali ya ukweli haitafahamika kwa watu wa mataifa (yaani, wasio Wayahudi) kabla ya wakati muafaka. Tutaivisha kinyago kwa jitiha­da za kujifanya kuyahudumia matabaka ya wafanyakazi na kutangaza misingi mikuu ya kiuchumi ambapo kwa lengo hilo propaganda ya uchochezi itatekelezwa kwa njia ya nadharia zetu za kiuchumi.’

Nukuu hizi zitaonesha mtindo wa Protokali katika kufanya rejea kwenye makundi husika. Ni ‘sisi’ kwa ajili ya waandishi, na ‘watu wa mataifa, yaani, wasio Wayahudi’ kwa ajili ya hao ambao habari zao zinaadikwa. Hii imeletwa kwa wazi kabisa kwenye Protokali ya Kumi na nne.

‘Katika tofauti hizi kati ya watu wa mataifa na sisi katika uwezo wa kufikiri na mantiki itaonekana kwa wazi lakiri ya kuchaguliwa kwetu kama watu wateule, kama binadamu wa daraja la juu zaidi, tukilinganishwa na wasio Wayahudi ambao wana silika tu na akili za kihayawani. Huchunguza, lakini hawaoni mbali, na hawavumbui chochote (isipokuwa labda vitu vya anasa).

Ni wazi kutokana na hili kwamba maumbile yenyewe yamejaalia kwamba sisi tutawale na kuongoza dunia.’ Bila ya shaka, hii imekuwa ni mbinu ya Kiyahudi ya kuwagawa wanadamu tangu zama za kale.

Dunia yote ilikuwa ya Myahudi tu na mtu wa mataifa, yaani asiye Myahudi, wale wote ambao hawakuwa Wayahudi walikuwa (wakiit­wa) watu wa mataifa. Matumizi ya neno fisadi yanaweza kuoneshwa kwenye ibara hii ya Protokali ya Nane.

‘Kwa muda huu hadi hapo, itakuwa salama kutoa nafasi za uwajibikaji katika serikali kwa ndugu zetu Wayahudi, tutazikabidhi kwa watu ambao historia yao na tabia zao ni za aina ambazo kuna lindi kuu kati yao na watu.’

Huu ni utekelezaji ujulikanao kama kutumia ‘mipaka ya watu wa mataifa, yaani wasio Wayahudi’ ambao leo unatumiwa sana katika ulimwengu wa kifedha kwa lengo la kuficha ushahidi wa mamlaka ya Kiyahudi.

Ni maen­deleo kiasi gani yamefanyika tangu yalipoandikwa maneno haya yanaoneshwa na kongamano la chama huko San Francisco ambapo jina la Jaji Brandeis lilipingwa kugombea Urais.

Inaingia akilini kutarajiwa kwamba akili ya umma itafanywa kuwa na mazoea zaidi na zaidi na fikira ya uvamizi wa Kiyahudi ambao kwa kweli utakuwa hatua ya karibu sana kutoka kwenye kiwango cha sasa cha ushawishi ambao Wayahudi wanafanya kwenye ofisi ya juu sana katika serikali.

Hakuna utendaji wa Urais wa Marekani ambamo Wayahudi hawajasaidia kwa siri katika kiwango muhimu sana. Uvamizi halisi wa ofisi si lazima kukuza mamlaka yao, lakini kuendeleza mambo fulani ambayo yanaenda sambamba kwa karibu sana na mipango inayozungumziwa kwenye Protokali.

Nukta nyingine ambayo msomaji wa Protokali ataiona ni kwamba sauti ya ushauri haipo kabisa kwenye nyaraka hizi. Zenyewe sio propoganda. Si juhudi za kuamsha tamaa au shughuli za hao ambao ndio wanaoandikiwa. Zenyewe zipo baridi kama makala ya kisheria na kwa kweli kama meza ya takwimu. Hakuna kitu kama ‘hebu na tuasi ndugu zangu’ kuhusu wao.

Hakuna jazba ya ‘hatutaki watu wa mataifa’. Protokali hizi kama kweli zilitengenezwa na Wayahudi na kufungiwa kwa Wayahudi tu, au kama zina kanuni za Mpango wa Kiyahudi wa dunia yote, kwa hakika hazikukusudiwa kwa wachochezi, isipokuwa kwa watu waanzilishi waliotayarishwa kwa uangalifu na kujaribiwa na makundi ya juu zaidi.

Tatizo La Mwanzo

Watetezi wa Kiyahudi wameuliza, ‘Inafahamika kwamba kama kulikuwa na mpango wa aina hiyo wa dunia kwa upande wa Wayahudi, wangeupun­guza kwa maandishi na kuuchapisha?’ Lakini hakuna uthibitisho kwamba Protokali hizi zilipata hata kutamkwa vinginevyo ni kama katika maneno yaliyozungumzwa na wale walioyaweka mbele.

Protokali kama tulivyona­zo ni kwa dhahiri ni maadishi yatokanayo na mihadhara ambayo mtu fulani aliisikia. Baadhi ya Protokali ni ndefu, baadhi ni fupi. Makubaliano ambayo yamekuwa yakifanywa mara kwa mara kuhusu Protokali tangu zilipojulikana ni kwamba ni muhtasari wa mihadhara iliyotolewa kwa wanafunzi wa Kiyahudi mahali fulani Ufaransa au Uswisi. Jaribio la kuzi­fanya chimbuko lake liwe Urusi huvurugwa na mtazamo, rejea kwenye nyakati na ishara fulani za sarufi.

Kwa hakika mwelekeo unalingana na dhana kwamba chimbuko lao lilikuwa muhtasari wa mihadhara iliyotolewa kwa wanafunzi, kwani lengo lao kwa dhahiri si kufanya mpango ukubalike lakini ni kutoa taarifa kuhusu mpango ambao unawakilishwa kama vile tayari upo kwenye mlolongo wa kutekelezwa. Hakuna mwaliko wa kuunganisha nguvu au kutoa maoni. Kwa kweli umetangazwa kwa ufasaha kwamba wala si mazungumzo ama maoni yanatakiwa ‘Tutakapokuwa tunahubiri fikira za wapendao mabadi­liko kwa wasio Wayahudi, tutawashika watu wetu na mawakala wetu kati­ka utiifu, usiohojiwa.’ Mpango wa uendeshaji lazima utokane na akili moja… ‘Kwa hiyo, tunaweza kujua mpango wa utekelezaji, lakini hatutal­izungumzia suala hilo, isije tukaharibu tabia yake ya pekee…
Kazi ya kutia moyo ya kiongozi wetu, kwa hiyo haiwezi kuoneshwa kwa kundi na kupa­suliwa vipande vipande, au hata kwenye kundi dogo.’

Aidha, kuzielewa Protokali katika maana yake halisi kwa mtazamo wa juu juu, ni dhahiri kwamba mpango ambao umezungumziwa kwenye mihad­hara hii haukuwa mpya wakati mihadhara inatolewa. Hakuna ushahidi wa kuonesha kuwa ni mpango wa hivi karibuni. Karibu sana kuwa humo upo mwenendo wa mila, au dini kama vile ulikuwa unapokelewa kutoka kizazi kimoja hadi kingine kupitia watu maalum wa kati wenye kuaminika na kufundwa. Hakuna ishara ya uvumbuzi mpya wa shauku ndani yake, laki­ni uhakika na umakini wa mambo na sera ulijulikana, ukathibitishwa kwa majaribio muda mrefu uliopita.

Nukta ya umri wa mpango imeguswa takriban mara mbili kwenye Protokali zeneywe. Kwenye Protokali ya kwanza paragrafu hii inaonekana:

‘Tayari kipindi cha zama za kale tulikuwa watu wa kwanza kupiga kelele kuhusu uwezo wa kujiamulia la kufanya, usawa na udugu miongoni mwa watu.’ Maneno haya yamerudiwa mara nyingi tangu hapo kwa mfano wa kasuku kutoka sehemu zote na kunasa kwenye mtego huu, ambapo kwa kutumia mtego huo, wameharibu mafanikio ya dunia na uhuru wa kweli wa mtu binafsi… Wanaodhaniwa kuwa wajanja na wenye akili katika wasio Wayahudi hawakuelewa uashiriaji wa maneno yanayotamkwa, hawakuchunguza mikanganyiko yao katika maana hawakuona kwamba katika maumbile hakuna usawa……..

Rejea nyingine kwenye hitimisho la mpango inaonekana kwenye Protokali ya kumi na tatu:

‘Suala la sera, hata hivyo, haziruhusiwi kwa yeyote isipokuwa wale ambao wameanzisha sera na wameelekeza kwa karne nyingi.’

Je! Hii inaweza kuwa rejea kwenye mahakama ya siri ya kiyahudi, inayo­jiendeleza yenyewe ndani ya tabaka fulani la Kiyahudi tangu kizazi hadi kizazi? Tena, lazima isemwe kwamba waasisi na waelekezaji wanaorejewa kwa sasa hawawezi kuwa tabaka lolote linalotawala, kwa yote hayo ambayo mpango unatafakari linapingwa moja kwa moja na maslahi ya tabaka kama hilo. Haiwezi kurejea kwa kundi la ubepari wa kitaifa, kama wauza maduka ya vikorokoro wa Ujerumani, kwa mbinu ambazo zimependekezwa ndizo hizo ambazo zingeliondolea uwezo kundi kama hilo. Haiwezi kurejea kwa yeyote isipokuwa kwa watu wasio na serikali ya wazi, ambao wanacho kila kitu kamili, miongoni mwa dunia inay­oporomoka. Lipo kundi moja tu linalotoa jibu kwa maelezo haya.

Upumbavu Wa Wasio Wayahudi

Ukosoaji ambao Protokali hizi huupitisha kwa wasio Wayahudi kwa upum­bavu wao ni haki. Haiwezekani kutokukubaliana na hata kitu kimoja kati­ka maelezo ya Protokali kuhusu akili za watu wa mataifa na ulaji rushwa wao. Hata wenye akili sana na uepesi wa kung’amua miongoni mwa watu wa mataifa wamepumbazwa katika kupokea kama mijadala ya maendeleo, yale ambayo yamepenyezwa kwenye akili ya kawaida ya binadamu na mifumo ya propaganda yenye kudhuru kwa siri sana. Ni kweli kwamba hapa na pale mwanafikra hujitokeza na kusema kwamba sayansi kama ilivyo haikuwa sayansi kamwe. Ni kweli kwamba hapa na pale mwanafikra amejitokeza na kusema kwamba kile kiitwcho sheria za kiuchumi za wahafidhina na wenye siasa kali hazikuwa sheria kabisa, lakini ni uvum­buzi wa bandia. Ni kweli kwamba kipindi cha anasa za ufisadi na matumizi ya zaidi na zaidi hakikuwa msukumo wa kimaumbile wa watu, lakini ni hali iliyoamshwa kwa mpangilio, na kuingizwa kwao kwa ghilba kwa ubunifu.

Ni kweli kwamba wachache wametambua kwamba zaidi ya nusu ya yale yanayotakiwa ‘kutolewa maovu hadharani’ ni vifijo vya kukodish­wa na uzomeaji na kamwe hayajavutia akili za watu.

Lakini pamoja na dalili hizi za hapa na pale, kwa muda mrefu hazikutiliwa maanani, hapajakuwepo na mwendelezo na ushirikiano baina ya wale waliokuwa macho, kuzifuatilia dalili zote hadi kwenye vyanzo vyao.
Maelezo makubwa ya mashiko ya Protokali yaliyonazo kwa viongozi wengi watawala wa dunia kwa miongo kadhaa ni kwamba huelezea ambapo ushawishi wote wa udanganyifu huja na nini makusudio yao.

Sasa ni wakati wa watu kujua kuwa kwa vyovyote vile Protokali kama zikid­haniwa kuthibitisha lolote kuhusu Wayahudi au hapana, zinazo elimu kwa njia ambayo umma wa watu unayumbishwa kama kondoo na ushawishi ambao hawauelewi.

Ni hakika kwamba mara kanuni hizi za Protokali zitakapojulikana kwa mapana na kueleweka kwa watu, ukosoaji ambao sasa kwa usahihi wanaufanya kwa jinsi ya akili za watu wa mataifa zilivyo, hautakuwa na manufaa tena.

Wagawe Uwatawale

Je! Upo uwezekano wa mpango wa Protokali kutekelezwa hadi kufaulu? Mpango tayari umekwishafuzu. Katika awamu zake nyingi zilizo muhimu sana ukweli unaonekana.

Lakini hakuna haja ya kusababisha wasiwasi, kwani silaha kuu itakayotumika dhidi ya mpango kama huo kwenye sehe­mu zake zilizokamilika na zisizokamilika, ni utangazaji wa wazi.

Acha watu wajue: Kuamsha watu, kuwahadharisha watu, kuvutia kwenye hisia za watu ni mbinu ya mpango uliofafanuliwa kwenye Protokali. ‘Dawa ya kuuwa nguvu ya sumu ni kuelimisha watu.’

Protokali huonekana wakati wa uchambuzi kuwa una vitengo vinne vikuu. Vitengo hivi havikuoneshwa kwenye maandishi ya nyaraka bali kwenye fikira.

Ipo ya tano, kama lengo lake lote limejumuishwa, lakini lengo hili limechukuliwa kwenye Protokali zote, kuwa tu hapa na pale hubainishwa katika vigezo. Na vitengo vinne vikuu ni mashina makuu ambamo yame­tokea matawi mengi.

Kwanza kipo kile kinachoitwa dhana ya kiyahudi kwa maumbile ya binadamu, ambayo inamaanisha umbile la watu wa mataifa. Pili, yapo maelezo ya yale ambayo yamekwishatimizwa katika utekelezaji wa mpan­go, mambo ambayo tayari yamefanyika.

Tatu, yapo maelekezo kamili kuhusu mbinu zinazotakiwa kutumika katika kuwezesha mpango kutimizwa zaidi. Nne, Protokali zinayo maelezo ya kina ya mafanikio ambayo wakati maneno haya yalipotamkwa yalikuwa hayajafanyika bado.

Baadhi ya vitu hivi vinavyotakiwa tayari vimetimizwa hivi sasa, kwani inatakiwa kuzingatiwa kiakili kwamba kati ya 1905 na wakati wa sasa ushawishi mwingi wenye nguvu sana umewekwa kwa lengo la kufanikisha mambo fulani.

Mafanikio yaliyotakiwa kufanikishwa ni kuvunja ushirikiano wa watu wa mataifa na nguvu zao, bila ya shaka hali hiyo ili­harakishwa na vita kuu nchini Ulaya. Mbinu iliyoelezewa ni ile ya kusam­baratisha. Wagawe watu katika makundi na madhehebu.

Pandikiza fikira zenye ahadi nyingi sana na za kufikirika na utafanya mambo mawili, kila mara utaona kundi moja linaning’inia kwenye kila fikira unayoitupa nje na utaona uzalendo huu unagawanyika na kufarakisha makundi mbalimbali.

Waandishi wa Protokali wanaonesha kwa maelezo ya wazi jinsi gani ya kufanya hili. Si kuhusu fikira moja, lakini ni kuhusu fikira nyingi sana zinazotakiwa kutolewa hadharani, na hapatakiwi kuwepo na ushirikiano miongoni mwao.

Kusudio si kuwafanya watu wafikiri kitu kimoja lakini wafikirie tofauti sana kuhusu vitu vingi mbalimbali, hivyo kwamba hap­atakuwepo ushirikiano miongoni mwao. Matokeo yake yatakuwa mfarakano mkubwa sana, vurugu nyingi sana, na hayo ndio matokeo yanayolengwa.

Mara ambapo ushirikiano wa wasio Wayahudi utakapovunjwa na jamii hiyo hiyo ‘watu wa mataifa/ wasio Wayahudi’ iwe haina dosari kabisa, kwani jamii ya binadamu sehemu yake kubwa sana ni watu wa mataifa, yaani, wasio Wayahudi – basi hii kabari ngumu ya fikira nyingine ambayo haikuathiriwa hata kidogo na vurugu zinazoendelea inaweza kutengeneza njia yake na kupenya mahali pa udhibiti.

Inajulikana vya kutosha sana kwamba chombo cha polisi au wanajeshi ishirini (20) waliopata mafunzo kinaweza kufanikisha zaidi ya kundi lenye ghasia la watu elfu moja (1,000). Kwa hiyo watu wachache walioingizwa kwenye mpango wanaweza kufanya zaidi katika taifa au dunia iliyogawanywa katika mael­fu ya makundi yenye kuhasimiana kuliko makundi yoyote ambavyo yange­fanya. ‘Wagawe na uwaongoze’ ni lengo la Protokali.”1

Chukua kwa ajili ya mfano vifungu hivi vya maneno. Hivi ni kutoka Protokali ya kwanza: ‘Uhuru wa kisiasa ni fikira, si ukweli. Ni lazima kujua jinsi ya kutumia fikira hii kama kuna haja ya chambo cha kijanja ili kupata kuungwa mkono na watu kwa ajili ya chama cha mtu, kama chama hicho kimechukua juku-mu la kukishinda chama kingine kilichomo madarakani. Kazi hii hurahi­sishwa zaidi kama mshindani mwenyewe ameathiriwa na kanuni za uhuru au kile kiitwacho msimamo wa kupenda mabadiliko, na kwa ajili ya fikira hiyo ataachia sehemu fulani ya mamlaka yake.’

Fikiri hili kutoka kwenye Protokali ya Tano2:

‘Ili kuweza kuwa na udhibiti wa maoni ya watu, kwanza ni lazima kuy­achanganya kwa kuingiza maoni kutoka pande nyingi zinazopingana zenyewe, hii ni siri ya kwanza. Siri ya pili inayo mpango wa kuongeza na kutia mkazo kwenye dosari za tabia za watu na mtindo wa maisha, hivyo kwamba hapana mtu atakayeweza kung’amua sababu ya vurugu hiyo, na kwa sababu hiyo watu watashindwa kuelewana. Hatua hii pia itatufaa kati­ka kuzalisha kutokukubaliana kwenye vyama vyote vyenye nguvu ambavyo bado vitakuwa havitaki kujisalimisha kwetu, na katika kukatisha tamaa uanzishaji wote wa kibinafsi ambao kwa namna yoyote unaweza kuingilia kati shughuli zetu.’

Na hili kutoka kwenye Protakali ya Kumi na Tatu: ‘…Na unaweza pia kuona kwamba tunataka kuthibitisha, si kwa matendo yetu, lakini ni kwa ajili ya maneno yetu yanayotolewa kuhusina na moja ya suala lingine. Siku zote hutangaza hadharani kwamba sisi tunaongozwa katika hatua zetu zote na matumaini na kusadikisha kwamba tunatoa hudu­ma nzuri kwa ujumla.’

Protokali Zinadai Utekelezaji Wa Upendeleo

Mbali ya vitu vinavyotarajiwa kufanywa, Protokali hutangaza vitu vinavy­ofanywa na ambavyo vimefanywa. Tukiangalia dunia inayotuzunguka leo inawezekana kuona masharti yaliyoanzishwa na mielekeo yenye nguvu ambayo Protokali hudokeza …ukamilifu wa kutisha wa mpango wa dunia ambao zinaufichua. Nukuu chache za jumla zitatoa mfano wa ishara za mafanikio ya sasa kwenye utetezi wa nyaraka hizi na ili kwamba jambo liwekwe wazi kwa msomaji maneno ya ufunguo yatasisitizwa.

Chukua haya kutoka kwenye Protokali ya tisa: ‘Kwa kweli hakuna vigingi dhidi yetu. Serikali yetu yenye nguvu kubwa inayo hadhi ya ziada ya uhalali ambao kwamba inaweza kuitwa yenye udikteta wenye juhudi na nguvu. Ninaweza kusema kwa kutambua kwam­ba kwa wakati huu sisi ndio watunzi wa sheria. Tumeunda mahakama na maarifa ya sheria. Tunatawala kwa dhamira yenye nguvu kwa sababu kati­ka miliki yetu tunayo masalia ya wakati fulani kilikuwa chama chenye nguvu, sasa kimekandamizwa na sisi’.

Na hii ni kutoka kwenye Protokali ya Nane: ‘Tutaizungusha Serikali yetu na wachumi wote wa dunia.
Ni kwa sababu hii kwamba Sayansi ya uchumi ni somo kuu la maelekezo linalo­fundishwa na Wayahudi. Tutazungukwa na kundi lote la wenye maben­ki, umiliki wa viwanda, wenye mitaji na hususan mamilionea, na kwa sababu na uhalisi, kila kitu kitaamuliwa kwa kutumia tarakimu.’

Haya ni madai yenye nguvu, lakini hayana nguvu zaidi ya ukweli unaoweza kukusanywa ili kuyaonesha. Hata hivyo, madai haya ni utan­gulizi tu wa madai zaidi ambayo yanafanywa na kuwa sawa sambamba na ukweli. Kwenye Protokali zote, kama ilivyo kwenye nukuu hii kutoka kwenye Protokali ya Nane, sifa ya Wayahudi katika kufundisha uchumi wa kisiasa inasisitizwa, na ukweli unashuhudia hilo.

Wayahudi ni waandishi wakuu wa mawazo haya yasio ya kawaida ambayo huongoza kundi la watu wenye fujo baada ya uchumi kushindikana, na pia wao ni waalimu wakuu wa uchumi wa kisiasa kwenye vyuo vyetu vikuu, waandishi wakuu wa vitabu rasimi vya somo hili ambavyo hushikilia madarasa ya kihafidhi na kwenye ubunifu kwamba nadharia za uchumi ni sheria za uchumi.

Fikira na nadharia kama vitendea kazi vya kusambaratisha jamii ni vitu vya kawaida kwa Myahudi wa chuo kikuu na Myahudi anayeunga mkono mfumo wa umaksi. Wakati yote haya yatakapooneshwa kinaga ubaga, maoni ya watu juu ya umuhimu wa uchumi wa kisomi na wa siasa kali unaweza kubadilika.

Na kama inavyodaiwa kwenye nukuu ambayo, imechukuliwa kutoka kwenye Protokali ya Tisa, nguvu ya Kiyahudi hapa duniani leo hii inafany­iza serikali kuu. Hili ni neno la Protokali yenyewe, na hakuna neno lingine linalostahili kama hilo. Hakuna taifa linaloweza kupata mahitaji yake yote, lakini mamlaka ya Kiyahudi duniani yaweza kupata kila kitu yanachotaka, hata kama mahitaji yanazidi usawa wa wasio Wayahudi. ‘Sisi ni watunzi wa sheria,’ Protokali zinasema, na ushawishi wa Kiyahudi umekuwa watengenezaji wa sheria kwa kiwango kikubwa zaidi kuliko yeyote lakini mabingwa wanatambua.

Katika miongo iliyopita mamlaka ya kimataifa ya Kiyahudi imetawala sana dunia3. Popote ambapo mielekeo ya Kiyahudi huruhisiwa kufanya kazi bila kizuizi, matokeo yasiyo ‘Uamerika’, au ‘Uanglikana’ wala utaifa wowote wa dhahiri, bali ni kurudisha utawala wenye nguvu kwa wenyewe, kwenye ‘Uyahudi’ muhimu.

Ushindi Wa Dini Na Vyombo Vya Habari

Hii inatoka kwenye Protokali ya kumi na saba, itakuwa ni yenye kuvutia kwa kiasi kikubwa, pengine kwa hao viongozi wa dini ambao wanashughulika na wanataaluma wa Kiyahudi katika kuleta aina ya ushirikiano wa kidini:

‘Kwa kipindi kirefu tumechukuwa tahadhari nzuri katika kuwafedhehesha viongozi wa dini na wasio Wayahudi na hapo hapo tumeharibu ujumbe wao ambao unaweza kutuzuia sisi kwa kiasi fulani. Ushawishi wao kwa watu unapungua kila siku. Uhuru wa dhamira umetangazwa kila mahali. Kwa hiyo, ni suala la muda tu ambapo mpasuko kamili wa dini ya Kikristo utatokea.’

Ibara pekee kwenye Protokali hii inadai kwa ajili ya Wayahudi ustadi maalum katika sanaa ya Matusi4.
‘Vyombo vyetu vya habari vya kisasa vitafichua mambo ya kidini na kutokuwa na uwezo kwa wasio Wayahudi, kila mara hutumia maneno ya matusi yanayokaribia fedheha, kitivo cha ajira ambacho kinajulikana sana kwa jamii yetu.’

Na hii inatoka kwenye Protokali ya kumi na Nane: ‘Chini ya ushawishi wetu utekelezaji wa sheria za wasio Wayahudi umepunguzwa sana. Heshima ya sheria inahujumiwa na tafsiri ya wapen­da mabadiliko ambayo tumeiwasilisha katika eneo hili: Mahakama huamua kama tunavyotaka, hata katika kesi muhimu sana ambamo zinahu­sishwa kanuni za msingi au masuala ya kisiasa, huyaangalia katika hali ambayo tunayowasilisha kwa utawala wa wasio Wayahudi kwa njia ya mawakala ambao hatuna uhusiano wowote nao kwa kupitia maoni ya mag­azeti na mikondo mingine.’

Madai ya udhibiti wa vyombo vya habari ni mengi sana. Hapa kuna usemi wa msisitizo kutoka kwenye Protokali ya Kumi na Nne:

‘Kwenye nchi ziitwazo zilizoendelea, tumetengeneza fasihi ya kipumbavu, chafu na ya kuchukiza. Kwa muda mfupi baada ya kuingia kwetu kwenye mamlaka ya utawala tutatia moyo kuwepo kwa fasihi ya aina hiyo ili kwamba inaweza kuonesha faraja kubwa ikilinganishwa na matangazo yaliyotamkwa au kuandikwa ambayo yatatoka kwetu.’

Na kwenye Protokali ya Kumi na mbili: ‘Tumepata (udhibiti huu wa vyombo vya habari) katika wakati huu kwa kiasi kwamba habari zote hupokelewa kwa njia ya mawakala kadhaa ambamo huwekwa pamoja kutoka sehemu nyingi za dunia. Halafu mawakala hawa kwa nia na madhumuni yote watakuwa taasisi zetu na kuchapisha tu habari tunazotaka zichapishwe’.

Hii inatoka kwenye Protokali ya Saba iliyo na somo hilo hilo: ‘Lazima tuzilazimishe serikali za wasio Wayahudi kuchukua hatua ambazo zitatangaza mpango wetu unaofahamika kwa mapana, ambao tayari unakaribia lengo lake la ushindi kwa kukubali kuhimili shinikizo la maoni ya watu yaliyochochewa, mpango ambao umefanywa na sisi kwa msaada wa kile kiitwacho ‘mamlaka makubwa ya vyombo vya habari’. Pamoja na tofauti chache ambazo si za kutiliwa maanani, tayari tunayo katika milki yetu.’

Turudie tena kwenye Protokali ya kumi na mbili ‘Kama tayari tumeweza kutawala akili za jamii ya watu wasio Wayahudi kufikia kiwango hicho kwamba takriban wote wanaona mambo ya ulimwengu kwa vioo vya rangi vya mawani ambazo tumeziweka machoni mwao, na kama sasa hakuna hata serikali moja ambayo imeweka vigingi dhidi yetu kuhusu sisi kupata kile ambacho kwa upumbavu wa wasio Wayahudi huitwa siri za serikali, itakuwaje basi pale ambapo sisi tutakuwa mabwana wa dunia wanaotambulika kwa njia ya mtu wetu mtawala wa dunia?

Taifa la Kiyahudi ndilo tu taifa ambalo linamiliki siri za watu wengine wote. Ukweli kwamba wanaweza kupata chochote wanachotaka wakati wanapotaka ndilo jambo la muhimu – kama nyaraka nyingi za siri zinavy­oweza kushahidilia kama zingeweza, na watunzaji wengi wa nyaraka za siri wangesema kama wangeweza.

Diplomasia ya kweli ya siri ya dunia ni ile ambayo huwapa kile kiitwacho siri za dunia kwa watu wachache ambao ni watu wa jamii moja; hakuna serikali hapa duniani ambayo inawahudu­mia watu wake kwa ukamilifu kama ilivyo ya kwetu hivi sasa.

Muhtasari Juu Ya Mtwawanyiko

Protokali hazifikirii mtawanyiko wa Wayahudi kwenda nchi za nje hapa duniani kuwa ni janga lakini ni kama mpango wa bahati njema ambao kwawo mpango wa dunia unaweza kutekelezwa kwa urahisi zaidi, kama yaonavyo maneno haya ya Protokali ya kumi na moja:

‘Mungu alitupatia sisi watu wake watueule mtawanyiko, kama baraka, na hili ambalo limeonekana kwa wote kuwa ni udhaifu wetu ndio imekuwa nguvu yetu yote. Sasa umetuleta kwenye kilele cha utawala wa dunia.’
Madai ya ufanikishaji ambayo yamewekwa kwenye Protokali ya Tisa yangekuwa mengi mno kwa maneno kama hayangekuwa mengi mno kwa kutambulika kwa kuonekana, lakini kuna mahali ambapo neno na uhalisi hukutana na kulingana:

‘Ili taasisi za wasio Wayahudi zisiharibiwe kabla ya wakati mwafaka, tumeweka mikono yetu juu ya taasisi hizo, na tumekwaruza chimbuko la taratibu zao. Kabla yake zilikuwa katika mpango kamili na haki, lakini badala yao tumeweka uendeshaji wa wapenda mabadiliko waliovurugiki­wa na walio madhalimu.

Tumevuruga sayansi na falsafa ya sheria za binadamu, haki kamili za uraia zinazotolewa na nchi, vyombo vya habari, uhuru wa mtu binafsi, na muhimu zaidi ya yote ni elimu na utamaduni, ambayo ndio kiini cha uhuru wa kuwepo.’

‘Tumewapotosha, tumewapumbaza na kuwakatisha tamaa vijana wa wasio Wayahudi kwa njia ya elimu katika kanuni na nadharia ambazo kwetu ni uwongo wa wazi, lakini ambazo tumezitia msukumo juu ya sheria zili­zopobila mabadiliko halisi, lakini kwa kuzibadili kwa njia ya tafsiri za kupingana tumetengeneza kitu cha ajabu sana katika njia ya matokeo.’

Kila mtu anajua kwamba licha ya ukweli kwamba hewa kamwe haikuwa imejaa nadharia za uhuru na matangazo ya kishenzi ya ‘haki’, kumekuwa na upunguzaji madhubuti wa ‘uhuru wa mtu binafsi’. Badala ya kustaara­bika, watu chini ya mbinu ya misemo ya kisoshalisti wameletwa kwenye kifungo wasichokizoea kwenye dola na sheria za kila aina zinazingira uhuru wa watu usio na madhara.

Uelekeo madhubuti kwenye mfumo maalum, kila awamu ya mwelekeo iliyotegemezwa juu ya baadhi ya ‘kanuni’ zilizotajwa za kielimu sana, zimeingia ndani, na cha kushangaza zaidi, mchunguzi anapofuatilia njia yake kuelekea katikati ya mamlaka ya makundi haya kwa ajili ya mlingano wa maisha ya watu huwakuta Wayahudi tayari wanayo mamlaka!

Kuigawa Jamii Kwa Kutumia ‘Fikira’

Mbinu ambayo kwayo Protokali hufanyakazi ya kuvunja jamii inaonekana wazi. Kueleweka kwa mbinu ni lazima kama mtu anataka kuona maana ya mawimbi na kingamano, mawimbi ambayo hufanya mchanganyiko usio na matumaini kabisa katika muda huu wa sasa.

Watu ambao wamechanganyikiwa na kukatishwa tamaa na sauti tofauti tofauti na nad­haria zisizopatana za leo, kila mojawapo huonekana yenye kukubali na kuleta matumaini, wanaweza kuona ishara ya wazi kwenye thamani ya sauti na maana ya nadharia kama wanaelewa kwamba kuchanganyikiwa kwao na kukatishwa tamaa humo ndimo lililomo lengo linalotafutwa.

Kutokuwa na uhakika, kusitasita, kutokuwa na matumaini na hofu ni shauku ambayo kwayo kila mpango wenye matumaini unaotoa ufumbuzi unashikwa, haya ndio majibu ambayo mpango ulioelezewa kwenye Protokali unalenga kutengeneza. Sharti ni uthibitisho wenye kuleta matokeo ya mpango wenyewe.

Ni mbinu inayochukua muda mrefu, na Protokali hutangaza kwamba imechukua muda, kwa hakika kwa karne nyingi. Wanafunzi wa jambo hili huona mpango unaofanana wa Protokali uliotangazwa na kushughulikiwa na jamii ya Wayahudi, tangu karne ya kwanza na kuendelea.

Imechukua miaka 1900 kuifikisha Ulaya kwenye kiwango chake cha kuti­ishwa – utiishaji wenye ghasia kwenye baadhi ya nchi, utiishaji wa kisiasa kwenye baadhi ya nchi, utiishaji wa kiuchumi kwenye nchi zote za Ulaya – lakini nchini Marekani mpango huo huo ukiwa na kiwango kinachokaribiana sana katika kufuzu umehitaji miaka 50 tu! Kituo cha Kiyahudi Marekani, na nguvu ya uwezo wa kushawishi iliyotu­mika, mkutano wa amani kuharakisha mamlaka ya Kiyahudi kwa usalama zaidi katika Ulaya, ilikuwa nguvu ya ushawishi ya Marekani iliyotumiwa kwa amri ya shinikizo kubwa la Wayahudi ambalo lililetwa kutoka Marekani kwa madhumuni hayo. Na shughuli hizi hazikwishia kwenye mkutano wa amani.
Mbinu yote ya Protokali inaweza kuelezewa kwa neno moja – Uvunjikaji. Kuharibu kile ambacho kimetengenezwa, kutengenezwa kwa kitu cha muda kwa muda mrefu na kisicho na matumaini ambamo majaribio kwenye kujenga tena yatachanganywa, na kuchakaa polepole kwa maoni ya watu na kujiamini kwa watu, hadi hapo hao wanaosimama nje ya vurugu zilizotengenezwa watachomeka mkono wao wenye nguvu na mtulivu ili kukamata udhibiti – huu ndio mwenendo wa mbinu yote.

Protokali zimetangaza bayana kwamba ni njia ya seti za fikira ambazo zimezunguka ‘demokrasia’, kwamba ushindi wao wa kwanza juu ya maoni ya watu ulipatikana. Fikira ni silaha. Na ili iwe silaha lazima iwe fikira inayotofautiana na mwelekeo wa kawaida wa maisha. Lazima iwe nadharia inayokinzana na ukweli wa maisha. Na hakuna nadharia inayokinzana namna hiyo inayoweza kutarijiwa kusimika mizizi na kuwa kipengele cha kutawala, isipokuwa kivutie akili kuwa kinafaa, kinatia nguvu na kizuri. Mara nyingi ukweli huonekana haufai.

Mara nyingi ukweli hutia huzuni, wakati mwingine ukweli huonekana huzuni, wakati mwingine huonekana kama uovu, lakini ukweli una manufaa ya umilele, huu ni ukweli, na cho­chote kilichojengwa juu yake wala hakileti ama kushindwa na kuchanganyikiwa. Hatua ya kwanza haina udhibiti wa maoni ya watu, lakini hutoa mwelekeo kwenda huko inakofaa kufa­hamu kwamba ni upandikizaji huu wa ‘sumu ya wapenda mabadiliko’ kama Protokali zinavyotaja, ambayo katika mpangilio hutenguliwa kwenye nyaraka hizo. Inayofuata baada ya hiyo Protokali inasema:

‘Ili kuweza kupata udhibiti wa maoni ya watu, kwanza lazima uchanganye’.

Ukweli, ni ukweli haiwezekani kuuchanganya, lakini huu udanganyifu wa kuvutia watu wapenda mapenzi ambao umesambazwa kwa kupandikizwa na ambao unakomaa haraka chini ya malezi ya Kiyahudi nchini Marekani kuliko hata ulivyofanya Ulaya, huchanganywa kwa urahisi kwa sababu wenyewe si ukweli. Ni kosa, na kosa lina aina nyingi zipatazo elfu moja.

Chukua taifa, chama, Jiji ni mkusanyiko ambamo sumu ya wapenda mabadiliko imepandwa na inaweza kugawa katika vikundi vidogo vingi kufuatana na wingi wa watu binafsi kwa kusambaza kwao mabadiliko fulani ya fikira iliyo chimbuko. Hicho ni kipande cha mkakati kijulikana­cho sana kwenye nguvu zinazodhibiti maoni ya umma kwa siri.

Theodor Herzl, Myahudi maarufu, mtu ambaye uoni wake wa mambo yajayo ulikuwa mpana kuliko mtawala yeyote wa zama za leo na ambaye mpan­go wake ulikwenda sambamba na Protokali, alijua hili miaka mingi iliy­opita aliposema kwamba serikali ya Kizayuni (fumbo la ‘Kiyahudi’) ingekuja kabla ya serikali ya kisoshalisti, alijua ni kwa mlolongo wa migawanyiko isiyo na mwisho ya ‘kupenda mabadiliko’ ambayo yeye na wale waliomtangulia walipenda kwamba ingewekewa mipaka na kule­mazwa.

Mchakato ambamo wasio Wayahudi wote wamekuwa wahanga, lakini kamwe si Wayahudi – kamwe si Wayahudi! – ni hivi tu: Kwanza, kuten­geneza fikra ‘kukubali mawazo ya wengine.’ Huo ni msemo ambao huji­tokeza katika kila ulalamikaji wa Myahudi dhidi ya kutajwa hadharani kwa Myahudi na shutuma zake za Mpango wa Ulimwengu: ‘Tulidhani ulikuwa mtu unayekubali mawazo ya wengine’.

Ni aina ya neno muhimu, dalili ya hali ya akili ambayo kwayo inatakiwa wasio Wayahudi wawekwe humo. Ni hali ya uvumilivu usio imara. Hali ya akili inayotamka misemo isiyo na maana kuhusu uhuru, misemo inayofanya kazi kama bangi kwenye akili na dhamira na ambayo huruhusu aina zote za vitu hufanywa kwa kufichwa.

Msemo, kauli mbiu, ni silaha ya kutegemewa sana ya Kiyahudi (‘Wakati wote watu wamekubali maneno badala ya vitendo’ – Protokoli ya 5) ukweli uliopo kwenye msemo, Protokali zinakiri wazi kwamba haupo.

Watu huzaliwa waumini. kwa muda fulani wanaweza kuamini katika ‘kukubali mawazo ya wengine’ na chini ya shinikizo la kuhofisha la kijamii ambalo limewekwa kwa ajili ya upendeleo wake kwa wazi wataunga mkono.
Lakini ni ya juu juu mno kuweza kuridhisha mizizi ya maisha inayokua, lazima waamini kwa kina sana kuhusu kitu. Kwa uthibitisho wa hili angalia nguvu isiyokanushika ya imani za kienyeji ambazo hushikiliwa na watu ambao wanao uhuru wa kiwango cha juu wa kiroho, huenda chini hadi kwenye mambo hayo ambayo yamekatazwa ambayo wakati fulani hugusa mahangaiko ya Wayahudi, hawa ni ‘watu wenye fikira finyu.’

Lakini wengine huona ni fursa nzuri zaidi kuzien­deleza idara hizo zenye matumaini ya njia kuu ambamo hapatakuwemo na migongano ya mawazo muhimu, hapatakuwepo na nafasi ya lawama ya ‘kutokuvumiliana’; kwa ufupi wanahamisha uwezo wao wote wa kutafakari kwenye hali halisi ya maisha, hata kama ilivyoandikwa kwenye Protokali – ‘Kupotosha fikira za wasio Wayahudi na uchunguzi wa wasio Wayahudi, maslahi lazima yapelekwe upande wa viwanda na biashara.’ Ni upotoshaji huu kwenye msingi wa wayakinifu ambao unazipatia Protokali, na vivyo hivyo watangazaji uwongo wa Kiyahudi, mshiko wao mzuri sana. Tafakari yenye mawazo mapana inayaacha mambo muhimu mahututi na haraka hushukia ‘tafakuri ya uyakinifu’. Ndani ya eneo hili la chini migongano yote inayohuzunisha dunia huonekana humo.

Ina maana, kama kila kitu kuhusu sisi kinavyoonesha, umalaya wa hudu­ma ili kupata faida na hatima ya kupotea kwa faida, maana yake ni kwam­ba usanifu wa kiwango cha juu wa uendeshaji hutenguka na kuwa uny­onyaji. Maana yake ni mkanganyiko wa kizembe miongoni mwa mamene­ja na vurugu za hatari miongoni mwa wafanyakazi.

Lakini inamaanisha kitu kibaya zaidi, maana yake ni kuigawa jamii ya wasio Wayahudi. Si mgawanyiko kati ya ‘Mtaji’ na ‘Wafanyakazi’ lakini ni mgawanyiko kati ya wasio Wayahudi katika pande zote mbili za utaratibu wa ufanyaji kazi, kama ambavyo Protokali zinathibitisha: ‘Ili kufanya iwezekane kwa ajili ya uhuru waziwazi kuchanguka na kuharibu jamii ya wasio Wayahudi, viwanda lazima viwekwe kwenye msingi wa ulanguzi.’

Kwa mtaji wa Kiyahudi katika upande mmoja wa utaratibu wa kazi wa wasio Wayahudi ni kukaza nati za wazalishaji bidhaa, na kwa wachochezi wa Kiyahudi na waharibifu na wala njama kwa upande mwingine wa utaratibu wa kazi wa wasio Wayahudi ni kuweka nati kwa wafanyakazi, tunayo hali ambayo kwamba mameneja wa dunia wa mpango wa Protokali lazima watakuwa wameridhika kwa kiasi kikubwa sana. Tazama Protokali ya 9:

‘Tungeweza kuogopa nguvu ya pamoja ya uoni wa wasio Wayahudi ya mtazamo wa mbali pamoja na nguvu ya kibubusa ya umma, lakini tumechukua hatua zote dhidi ya uwezekano wa matukio yasiyotaraji­wa kwa kunyanyua ukuta wa uadui baina ya nguvu hizi mbili. Hivyo, nguvu ya kibubusa ya watu hutuunga mkono sisi. Na sisi peke yetu, ndio tutakaotoa huduma ya kuwa viongozi wao. Kwa kawaida tutazielekeza nguvu zao ili kufanikisha fikira zetu.’

Dalili ya kwamba wanaridhika sana ni kwamba si tu kwamba wanafanya kitu chochote kuleta nafuu kwenye hali ya dunia, lakini kwa dhahiri wako radhi kuona inafanywa kuwa mbaya zaidi. Ufukara ambao wamepangiwa (isipokuwa unyonge wa wasio Wayahudi mbele ya mamlaka ya Kiyahudi, ya juu na chini, ipate nguvu mpya), utaifikisha Marekani kwenye ukingo, kama si ng’ambo ya msitari wenyewe wa Umaksisti.

Wayahudi wanajua mbinu yote ya upungufu bandia na kupanda kwa bei. Ilitekelezwa kwenye mapinduzi ya Ufaransa na nchini Urusi. Dalili zote za hali hiyo zimo nchi­ni hapa pia.

Si vigumu kuona nasaba ya fikira za Kiyahudi za kupenda mabadiliko kutoka kwenye chimbuko lao hadi kwenye athari zao kwa maisha ya wasio Wayahudi. Mkanganyiko ulipolengwa ni hapa! utatanishi unaainisha hali yote ya akili ya watu leo hii.

Hawajui waamini nini. Kwanza hupewa seti moja ya mambo, halafu nyingine. Kwanza maelezo ya aina moja ya masharti hutolewa kwao, kisha mengine.

Ukweli upungufu (wa bidhaa) unakuwa mkali: Lipo soko lote lililojaa maelezo ambayo hayaelezi lolote, isipokuwa huzidisha utatanishi.
Serikali yenyewe huonekana kuzuiwa, na wakati wowote inapopanda, mkondo wa upelelezi hujikuta kwenye mvu­rugiko hivyo kwamba utaratibu unakuwa mgumu. Kipengele hiki cha kiserikali pia kimewekwa wazi kwenye Protokali: Ongoza humo shambu­lio la mwelekeo wa binadamu kwenye dini, ambacho kwa kawaida ni kigingi cha mwisho kuanguka kwenye ghasia na uporaji kutangaa.

Kuhitimisha wazo hili la ujumla la mbinu, hasa sehemu ya mbinu, ni utatanishi wenyewe, ambao ushawishi wote wa Kiyahudi hukusanyika kuzalisha. Inatarajiwa kuzalisha hali nyingine ambayo haina msaada kabisa. Na hali hiyo ni kuchosha. Haihitaji kutafakari ili kuweza kuona maana yake.

Kuchosha leo hii ni mojawapo ya hali ambayo inaogofya watu. Vita na mkazo wake vilianza kuchakaza amani na utatanishi wake umekaribia kumalizia kazi hiyo. Watu huamini kidogo na hutarajia kidogo zaidi. Kujiamini hakupo tena. Moyo wa kujituma nao unakaribia kutowe­ka. Kushindwa kwa makundi yaliyotangazwa kwa udanganyifu kuwa makundi ya watu kumefika mbali mno kuwafanya watu wadhani kwamba hakuna kundi la watu linalowezekana.

Protokali zinasema hivyo: ‘Kumchakaza kila mtu kwa mifarakano, uhasama, ugomvi, njaa, chanjo za magonjwa, kuhitaji, hadi wasio Wayahudi hawataona njia nyingine ya kukimbilia isipokuwa kuomba uwezo wa fedha yetu.’ Protokali ya 10.

‘Tutawachakaza na kuwachosha wasio Wayahudi kwa kutumia yote haya hivyo kwamba watalazimika kutupatia sisi mamlaka ya kimataifa, ambayo kwa nafasi yake yatatuwezesha kuteka nguvu zote za kiserikali za dunia bila usumbufu na hivyo basi kuanzisha serikali kuu.

Lazima tuelekeze hivyo elimu ya jamii ya wasio Wayahudi hivyo kwamba mikono yake itaanguka kwenye udhaifu wa kukatisha tamaa mbele ya kazi yoyote ambapo moyo wa kujituma unahitajika.’ Protokali ya 5.

Kamwe Wayahudi hawajapata kuchakaa au kuchoka. Kamwe hawajapata kurudi nyuma. Hiyo ni tabia ya kweli ya akili ya wale ambao wana doke­zo kwenye mazonge. Ni kitu cha siri ambacho huchosha akili, kuzurura kwa mfululizo miongoni mwa mielekeo na ushawishi ambao chanzo chake hakijulikani na ambao lengo lake halieleweki. Kutembea gizani, ni matem­bezi ya kuchosha. Wasio Wayahudi wamekuwa wakifanya hivyo kwa karne nyingi. Wengine wanayo fikira iliyo sahihi kabisa kwamba hali hiyo inahusu nini, hawakukubali kusalimu amri.

Hata, mateso yanavumilika kama yanaeleweka, na Wayahudi wa hapa duniani wakati wote wamekuwa wakijua nini kimestahili wapi katika utaratibu wa vitu. Wasio Wayahudi wameteseka zaidi kutokana na mateso ya Wayahudi kuliko Wayahudi, baada ya kwisha mateso, asiye Myahudi alikuwa hajui lolote kabisa, ambapo Uyahudi kwa urahisi kabisa ulichukua tena mwendo wa karne kuelekea kwenye lengo ambalo unaliamini kisirisiri na ambalo wengine ambao wanao ujuzi mkubwa wa kiini cha Kiyahudi hapa duniani na ambao pia wanaweza kuguswa na uchovu, husema watafanikiwa. Hata hivyo, haya yanaweza kuwa ni mapinduzi ambayo yatakuwa ya lazima kupunguza kasi ya mshika mfumo wa Uyahudi wa Kimataifa hapa duniani, labda ingetakiwa kuwa na siasa kali kama majaribio yoyote ambayo Wayahudi wamefanya kudumisha mshiko huo. Wapo wale ambao wanaonesha wasiwasi mkubwa kama wasio Wayahudi wanaweza kushin­dana kufanya hivyo hata kidogo. Inawezekana wasiweze. Angalau wapewe fursa ya kujua washindi wao ni nani.

Protokali Ya Saba

‘Kwa kila kitendo cha upinzani lazima tujibu kwa kuleta vita kwa njia ya majirani wa nchi yoyote ambayo inadiriki kutupinga sisi na kama majirani hawa watapanga kwa pamoja kutupinga sisi, lazima tuanzishe vita kuu ya dunia.’ 5

  • 1. NENO LA MHARIRI: Dondoo hizi humulika undanganyifu wa ‘serikali za ulimwengu’ kama Shirikisho la Mataifa na Umoja wa Mataifa, ambako fikra laini na habari ngumu huthibitisha kinyume chake.
  • 2. Watu wengi wanauhusisha wito huu kwenye ukoloni. Na baadae kwenye tafsiri zake nyingine, ubeberu. Kusema kweli dhana hii ya uongo kuhusu asili yake ilisukumwa na Wayahudi wenyewe ili kuficha asili yake kuwa yao, iliazimwa na mabeberu kukidhi haja yao - Mchapishaji.
  • 3. Serikali kubwa ni mashuhuri hata hivi sasa kupitia mataifa makubwa, Mkataba wa Umoja wa Mataifa, Baraza la Usalama na nguvu ya kura ya turufu (veto) ya wajumbe wake wa kudumu, ambao mwanzoni walitangaza kwamba watafanya kazi kwa ajili ya ustawi wa ubinadamu, nk. Wakati ambapo maazimio yao ya uwongo yanajulikana kwa kila mtu, pamoja na madhumuni yao ya mwisho ya kuhudumia malengo ya Wazayuni. Hii ndio maana wanatangaza: ‘Sisi ni waten­genezaji wa sheria’. Hawaamini kwamba Ni Allah (swt) Ambaye ndiye Mtengenezaji wa Sheria, kwa sababu hawaamini hata katika dini yao ya asili iliy­oteremshwa na Allah (swt) kwa Wana wa Israil - Neno la Mchapishaji.
  • 4. Mfano wa hivi karibuni ni kitabu cha ‘Aya za Shetani’ kilichoandikwa na Salman Rushdi, muasi wa dini (murtad),
  • 5. Hivi ndivyo wanavyofanya sambamba na kiburi cha dunia kinavyofanya kuzi­ma Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran. Waliuchochea utawala wa Iraq chini ya chama cha Baath, kuanzisha vita dhidi yake na kuiangusha, kwa vile utawala wa kweli wa Kiislamu hauwezi kamwe kukubalika kwa Wazayuni na wasaidizi wao. (neno la Mchapishaji)