read

Orodha Ya Vitabu Vilivyo Chapishwa Na Al-Itrah Foundation:

1. Qur'an Al-Kariim - Tafsir Al-Kashif Juzuu ya kwanza mpaka Ishirini
2. Uharamisho wa Riba
3. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya kwanza
4. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya pili
5. Hekaya za Bahlul
6. Muhanga wa Imamu Husein (A.S.)
7. Mikingamo iliyomzunguka Imamu Ali (A.S.)
8. Hijab vazi Bora
9. Ukweli wa Shia Ithnaashari
10. Madhambi Makuu
11. Mbingu imenikirimu
12. Abdallah Ibn Saba
13. Khadijatul Kubra
14. Utumwa
15. Umakini katika Swala
16. Misingi ya Maarifa
17. Kanuni za Ndoa na maadili ya Familia
18. Bilal wa Afrika
19. Abu Dharr
20. Usahihi wa Historia ya Uislamu na Waislamu
21. Salman Farsi
22. Ammar Yasir
23. Qur'ani na Hadithi
24. Elimu ya Nafsi
25. Yajue Madhehebu ya Shi’ah
26. Ukusanyaji na Uhifadhi wa Qur'ani Tukufu
27. Al-Wahda
28. Ponyo kutoka katika Qur'ani.
29. Uislamu mfumo kamili wa maisha ya kijamii
30. Mashukio ya Akhera
31. Al Amali
32. Dua Indal Ahlul Bayt
33. Udhuu kwa mujibu wa Kitabu na Sunna.
34. Haki za wanawake katika Uislamu
35. Mwenyeezi Mungu na sifa zake
36. Amateka na Aba'Khalifa
37. Nafasi za Ahlul Bayt (a.s)
38. Adhana.
39 Upendo katika Ukristo na Uislamu
40. Nyuma yaho naje kuyoboka
41. Amavu n’amavuko by’ubushiya
42. Kupaka juu ya khofu
43. Kukusanya swala mbili
44. Bismillah ni sehemu ya Qur’ani na husomwa kwa Jahara
45. Kuwaongoza vijana wa kizazi kipya
46. Kusujudu juu ya udongo
47. Kusheherekea Maulidi Ya Mtume (s)
48. Tarawehe
49. Malumbano baina ya Sunni na Shi’ah
50. Kupunguza Swala safarini
51. Kufungua safarini
52. Umaasumu wa Manabii
53. Qur’ani inatoa changamoto
54. as-Salaatu Khayrun Minan-Nawm
55. Uadilifu wa Masahaba
56. Dua e Kumayl
57. Sauti Ya Uadilifu wa Binadamu
58. Umaasumu wa Mitume - Faida Zake Na Lengo Lake
59. Umaasumu wa Mitume - Majibu Ya Aya Zenye Utata
60. Umaasumu wa Mitume - Umaasumu wa Mitume Muhammad (s)
61. Nahju’l-Balaghah - Juzuu ya Kwanza
62. Nahju’l-Balaghah - Juzuu ya Pili
63. Kuzuru Makaburi
64. Maswali Na Mishkili Elfu - Sehemu ya Kwanza
65. Maswali Na Mishkili Elfu - Sehemu ya Pili
66. Maswali Na Mishkili Elfu - Sehemu ya Tatu
67. Tujifunze Misingi Ya Dini
68. Sala ni Nguzo ya Dini
69. Mikesha Ya Peshawar
70. Malezi Ya Mtoto Katika Uislamu
71. Ubora wa Imam 'Ali Juu ya Maswahaba Na Ushia ndio njia iliy onyooka
72. Shi’ah asema haya, Sunni asema haya, Wewe wasemaje?
73. Liqaa-u-llaah
74. Muhammad (s.a.w.w.) Mtume wa Allah
75. Amani na Jihadi Katika Uislamu
76. Uislamu Ulienea Vipi?
77. Uadilifu, Amani na Mtume Muhammad (s.a.w.w.)
78. Mitala na Ndoa za Mtume Muhammad (s.a.w.w.)

Back Cover

NAHJU 'L-BALAGHAH ni jina la majimui (mtungo) maarufu ya khutba, amri, barua, risala, mawaidha na semi fasihi za Imam Ali bin Abu Talib (a.s.). Haya yote yamekusanywa na Abu 'l-Hasan Muhammad bin Husain al-Sharif al-Radhii. Mtungo huu wenye khutba takriban 237, amri (huku- mu), barua na risala 79, na semi (methali) 480 ulikamilika mwezi wa Rajab 400 A.H./1009 A.D. Maana ya nahj ni 'njia iliyo wazi' au 'barabara kuu'; na maana ya balaghah ni ufasaha wa lugha (balagha); elimu ya usemaji mzuri na safi wa lugha, n.k. Kwa hivyo, Nahju 'l-Balaghah maana yake ni Barabara Kuu ya Ufasaha.

"Mtu yeyote ambaye amebobea katika lugha ya Kiarabu atakubali tu kwamba baada ya maneno matukufu ya Mwenyezi Mungu na Mtume Wake Muhammad (s.a.w.), Nahju 'l-Balaghah inafuata kwa ubora wake. Maneno ya Ali ni yenye maana na fikra nzito…" (Sheikh Abbas Mahmud al-'Aqqad - mwandishi mashuhuri wa Kimisri)

"Ali alikuwa ni Imamu (kiongozi) kwenye nyanja za vita, Imamu wa siasa, Imamu wa dini, Imamu wa falsafa, Imamu wa maadili, Imamu wa maandiko mbalimbali, na Imam wa elimu na hekima." ('Abdu 'l-Masih al- 'Antaqi - Mhariri wa Kikristo wa gazeti la Kimisri la al-Ahraam)

"Mtu yeyote anayetamani kuikata kiu yake (ya kiroho) kwa maneno ya Ali (a.s.), lazima ausome kila ukurasa wa Nahju 'l-Balaghah." (Amin Nakhlah)

Kimetolewa na kuchapishwa na:
Alitrah Foundation
S.L.P. 19701 Dar es Salaam, Tanzania
Simu: 255 22 2110640 / 2127555
Barua Pepe: alitrah@raha.com
Tovuti: www.ibn-tv.com