Husainan

Waa Husainan waa Husainan waa Husainaa x 2

Waa Husainan swaha Jibriilu hazinaa
Ya srakhul kawnu bukaa'an wa aninaa

Qad Qadha ssibtu ghariban fii tufuuf
Wahdahu haafat bihi tilka sufuuf
Min rimahin au nibalin au siyuuf
Thumma dhulman Qatwau minhul watiina

Waidha bii ssibtwi fii twaffi gharib
Jismuhu saa haati fii harbi saliib
Ma’ahu rahtul ubati swabirinaa

Masaqawhul-maa'fii Yawmil-fajii'li
Huwa dham aanin yunadi sama uuh
Maata atshanan walam yusqal mainaa

Swahili

Yaa Abbas

Yaa Abbas yaa Abbas
Ya madhulum fii Karbalaa x 2

Yaa Madhulumaa fii Karbalaa
Yaa man mata wahuwa atshan
Ya madhulum fii Karbalaa x 2

Bakati Sakina ladaa Karbalaa
Wa Muhammadahu banatuka sabaya
Yaa madhulum fii Karbalaa x 2

Bakati ssamaa'u liqatilil Husain
Wa sibtwahu ladaa Karbalaa
Yaa madhulum fii Karbala x 2

Yaa madhulum fii Karbalaa
Wa nazifaahu fii Karbalaa
Yaa madhulum fii Karbalaa x 2

Ra’asuhu Husain fawqaa rrimahi
Sibtun-nabiyyi muqattalaa
Yaa madhulum fii Karbalaa x 2

Swahili

Allahu Akbar

Allahu akbar Allah, yaa Husain ya Husain
Allahu Akbar Allah yaa Husain ya Husain

Aliyyu yandubu wayaqulu yaa Husain ya Husain x 2

Al-Hasani yandubu wayaqulu yaa Husain ya Husain x 2

Rasulu yandubu wayaqulu yaa Husain ya Husain x 2

Azzahra tandubu wataqulu yaa Husain ya Husain x 2

Fatima tandubu wataqulu yaa Husain ya Husain x 2

Sakina tandubu wataqulu yaa Husain ya Husain x 2

Jibrilu yandubu wayaqulu yaa Husain yaa Husain x 2

Al-ardhu yandubu wayaqulu yaa Husain yaa Husain x 2

Swahili

Yaa Husain

Yaa Husain, yaa Husain kullu yawmin Aashura
Kullu ardhin Karbalaa, yaa abal ahraar x 2

Yaa Salilul ambiyaa, anta Imamul atqiyaa
Yaa abal ahraar x 2

Yaa Kahfil mustajirrin, yaa shariul mudhnibiin
Yaa abal ahraar x 2

Yaa ilma fikulli waad, yaa imama filjihadi
Yaa abal ahraar x 2

Laa ilaha illa llah, yawmi twaffi-laa nansaa x 2
Yaa abal ahraar x 2

Yaa sar khata thairin, Haihata annastakini x 2
Yaa abal ahraar x 2

Ya kahfa wal mu’utamad, amta zaadi wa sanaad x 2
Yaa abal ahraar x 2

Swahili

Shairi

Salaam Salaam, Imamu Sayyidna Husain

Bismillah nitajayo, Ni jina la Mola wangu,
Rahmani isemwavyo, Ya akhera na ulimwengu,
Rahimi isimuliwavyo, Akhera ya wacha Mungu,
Salaam Salaam, Imamu Sayyidna Husain.

Alhamdu ni sifa za Mola, Lillahi jina la Hadhiya,
Namwalia Rasula, Salaam na neema pia,
Waalaalihi liula, Zienee kwa wote pia,
SaIaam Salaam, Imamu Sayyidna Husain.

Swahili

Salaam Salaam, Imamu Sayyidna Husain

Limetungwa na:
Maallim Abdul Qahari bin Said,
(wa Mtama, Lindi - Tanzania)

Utangulizi

Marehemu Maallim Abdul Qahari bin Saidi mwanachuoni mashuhuri wa Madhehebu ya Sunni (Shafii) ndiye aliyeandika shairi hili.

Kwa sauti kubwa na shangwe alilisoma shairi hili katika adhimisho la Siku ya Imamu Husain (a.s.) lililofanyika huko Mtama (Lindi, Tanzania) mnamo tarehe mosi Julai mwaka 1961.

Lilirekodiwa katika "Tape Recorder" na kusikilizwa katika miji mingi mingineyo barani Afrika.

Swahili

Dibaji

Mtukufu Mtume (s.a.w.w.) asema:

"Ee Allah! Hawa (Ali, Fatima, Hasan na Husain) ndio Ahlul Bait wangu, basi watoharishe kwa tohara kamili."

"Husain anatokana na mimi na mimi ninatokana na Husain..."

"Hao (Hasan na Husain) ni maua yangu katika dunia."

"Ewe Mwanangu (Husain)! Mwili wako ni mwili wangu na damu yako ni damu yangu;"

Swahili

Majlisi Ya 12: Mapambano Dhidi Ya Askari Wa Ibn Ziyad

Baada ya Imam Husein (a.s.) kuamua kutua hapo Karbala miongoni mwa wafuasi wake waliokuwa bora na wanao ambatana naye mara kwa mara ni Bwana Nafii bin Hilal Al-Jamali.

Bwana huyu alikuwa hodari sana wa kupanga mbinu za mapambano ya vita hasa kwa kutokana na ujuzi mkubwa aliokuwa nao kuhusu mambo ya kisiasa.

Basi siku moja Imam (a.s.) akatoka nje ya mahema mpaka akawa mbali, Nafii akamuona Imam naye mara akachukua upanga wake na haraka akamfuata Imam (a.s.).

Swahili

Majlisi Ya 11: Imam Husein (a.s.) Awasili Karbala

Imam Husein (a.s.) aliendelea na safari yake mpaka ikabaki kiasi cha safari ya siku moja kutoka Al-Kufah hadi hapo alipokuwa.

Mara ghafla alitokea Bwana Hurr bin Yazid akiwa na Askari elfu moja wenye farasi na Imam (a.s.) akamwambia Hurr, "Je hapa nitasalimika au tutaangamia."

Hurr akajibu "Lililopo hapa ni kuangamia tu ewe Abu Abdullahi."

Swahili

Majlisi Ya 10: Imam Husein (a.s.) Safarini Kwenda Iraq

Siku aliyotoka Imam Husein (a.s.) kuelekea Al-Kufah ndiyo siku ambayo Muslim bin Aqiil alikuwa yumo katika mapambano na askari wa ibn Ziyad, nayo ilikuwa ndiyo siku ya tarehe nane Dhil-Hija, na Muslim aliuawa siku ya nane tangu Imam Husein (a.s.) atoke Makkah, na siku hiyo ilikuwa ni siku ya "Arafah".

Kwa hiyo, siku ya kuondoka kwake Imam hapo Makkah, walikusanyika watu mbali mbali kutoka Hijaz na Basra wakaungana na watu wa nyumba ya Imam (a.s.) na wafuasi wake.

Swahili