Roho ya Matumaini Sayyidina 'Ali bin Abi Talib (a.s.)

Makala hii ni Maelezo ya jumla juu ya maisha ya Imam Ali bin Abi Talib. Mwandishi ame gusia matukio yote ya muhimu katika maisha ya Imam (a.s). Wasomaji wapendao kujua machache kuhusu vipengele vya muhimu katika maisha ya Imam wataipenda sana makala hii.

Miscellaneous information: 
Roho ya Matumaini Sayyidina 'Ali bin Abi Talib (a.s.) Kimetungwa na: Allama Sayyid 'Ali Naqi Saheb Kimetafsiriwa na: Bwana J. J. Shou