Swali La Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy Na Jibu La Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf

Makala hii inajibu swali la mwanachuoni maarufu wa Afrika Mashariki kuhusu hadhi ya masahaba wa Mtume (s.a.w.w.). Swali limejibiwa na mwenye umahiri wa kielimu na uchamungu wa hali ya juu, aliyeishi katika nchi ya Iraq na aliyehudumia Uislamu na Waislamu kwa zaidi ya miaka 40.

Miscellaneous information: 
Swali La Sheikh Abdullah Saleh Al-Farsy Na Jibu La Imam Muhammad Husain Kashiful Ghitaa wa Najaf Kimetarjumiwa na: Sheikh Ramadhan Idris Kwezi Kimetolewa na kuchapishwa na: Bilal Muslim Mission of Tanzania P.o. box 233 Dar es salaam Tanzania Haki ya kunakuli imehifadhiwa na: Bilal Muslim Mission of Tanzania ISBN 9987 – 62 09 4 Toleo la kwanza 1999: Nakala 1000