read

Orodha Ya Vitabu Vilivyo Chapishwa Na Al-Itrah Foundation:

1. Qur’ani Al-Kariim - Tafsir Al-Kashif Juzuu ya kwanza mpaka Ishirini
2. Uharamisho wa Riba
3. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya kwanza
4. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya pili
5. Hekaya za Bahlul
6. Muhanga wa Imamu Husein (A.S.)
7. Mikingamo iliyomzunguka Imamu Ali (A.S.)
8. Hijab vazi Bora
9. Ukweli wa Shia Ithnaashari
10. Madhambi Makuu
11. Mbingu imenikirimu
12. Abdallah Ibn Saba
13. Khadijatul-Kubra
14. Utumwa
15. Umakini katika Swala
16. Misingi ya Maarifa
17. Kanuni za Ndoa na maadili ya Familia
18. Bilal wa Afrika
19. Abu Dharr
20. Usahihi wa Historia ya Uislamu na Waislamu
21. Salman Farsi
22. Ammar Yasir
23. Qur’ani na Hadithi
24. Elimu ya Nafsi
25. Yajue Madhehebu ya Shia
26. Ukusanyaji na Uhifadhi wa Qur’ani Tukufu
27. Al-Wahda
28. Ponyo kutoka katika Qur’ani
29. Uislamu mfumo kamili wa maisha ya kijamii
30. Mashukio ya Akhera
31. Al-Amali
32. Dua Indal Ahlul Bayt
33. Udhuu kwa mujibu wa Kitabu na Sunna
34. Haki za wanawake katika Uislamu
35. Mwenyezi Mungu na sifa zake
36. Amateka
37. Nafasi za Ahlul Bayt (a.s)
38. Adhana.
39 Upendo katika Ukristo na Uislamu
40. Nyuma yaho naje kuyoboka
41. Amavu n’amavuko by’ubushiya
42. Kupaka juu ya khofu
43. Kukusanya swala mbili
44. Bismillah ni sehemu ya Qur’ani na husomwa kwa Jahara
45. Kuwaongoza vijana wa kizazi kipya
46. Kusujudu juu ya udongo
47. Maulidi
48. Tarawehe
49. Malumbano baina ya Sunni na Shia
50. Kupunguza swala safarini
51. Kufungua safarini
52. Kuzuru makaburi
53. Umaasumu wa Manabii
54. Qur’ani inatoa changamoto
55. Tujifunze misingi ya dini
56. Nahjul Balagha Sehemu ya Kwanza
57. Nahjul Balagha Sehemu ya Pili
58. Dua Kumayl
59. Uadilifu wa masahaba
60. Asalaatu Khayrunminaumi
61. Sauti ya uadilifu wa binadamu
62. Umaasumu wa Mitume Sehemu ya kwanza
63 Maswali na Mishkili Elfu Sehemu ya kwanza
64. Umaasumu wa Mitume Sehemu ya pili
65. Umaasumu wa Mitume Sehemu ya tatu
66. Maswali na Mishkili Elfu Sehemu ya pili
67. Maswali na Mishkili Elfu Sehemu ya tatu
68. Sala ni nguzo ya dini
69. Malezi ya mtoto katika Uislamu
70. Ubora wa Imam Ali Juu Ya Maswahaba
71. Mikesha ya Peshawar
72. Shia asema haya, Sunni asema haya, wewe wasemaje?
73. Imam Mahdi ndani ya Usunni na Ushia
74. Hukumu ya kujenga juu ya makaburi ndani ya sheria

Back Cover

Hakika tawasali uhalisi wake umeelezwa na Qura’ni Tukufu pindi Mwenyezi Mungu alipowaambia waumini: “Enyi mlioamini! Mcheni Mwenyezi Mungu na tafuteni njia ya kumfikia (wabtaghuu ilayhi ‘l-wasi- ilah). Na piganeni kwa ajili ya dini Yake ili mpate kufaulu.” (5:35)

Hakika aya hii tukufu imehesabu uchamungu (taqwa) na jihadi kuwa ni miongoni mwa njia za kisheria ambazo mwanadamu anaweza kuzifanya sababu ya kumfikia Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Na je, kuna njia nyingine ambazo zimehimizwa na sheria? Au jambo hili ameachiwa mwanadamu na kwa uwezo wake agundue njia nyingine za kumkurubisha kwa Mwenyezi Mungu?

Ni wazi kuwa njia ambazo mja anaweza kujikurubisha kwazo kwa Mwenyezi Mungu hazitokani na juhudi za kielimu, kwani kujikurubisha kwa Mwenyezi Mungu na njia za kupatikana ukuruba huo zinahitaji mwongozo wa Mwenyezi Mungu.

Na hapo ndipo sheria ilipochukua jukumu la kuzibainisha, ikazitolea maelezo na kuziwekea mipaka ndani ya Kitabu na Sunna tukufu. Kila njia isiyokuwa ile iliyoelezwa na sheria kwa namna ya pekee au ya mjumuisho, basi yenyewe ni aina moja ya bidaa na upotovu.

Kimetolewa na kuchapishwa na:
Alitrah Foundation
S.L.P. 19701 Dar es Salaam, Tanzania
Simu: +255 22 2110640 / 2127555
Barua Pepe: alitrah@raha.com
Tovuti: www.ibn-tv.com