Uharamisho wa Riba

Makala hii imekusanya aya za Qur’ani na Hadithi nyingi na sahihi za makatazo ya Riba katika uislamu. Dhambi na Madhara ya kutoza Riba inashtua akili na moyo; msomaji ataelimika kwa kupitia makala hii.

Category: 
Miscellaneous information: 
Uharamisho wa Riba Kimekusanywa na kutarjumiwa na Amiraly M H Datoo Bukoba - Tanzania