read

Maneno Mawili

Kama inavyoonekana katika picha ya ukurasa wa kwanza, utaona kuna kifurushi cha fedha zilizo kidogo yaani mkopaji anapokopa hukopa kidogo na anaporejesha, hurejesha kifurushi kinono, kama kinavyojionesha. Yaani tuseme riba inamnyonya mnyonge anakwisha na kinamnenepesha mtoza riba.

Vile vile unaweza kufaidika kwa kupata vitabu na Makala yanayozungumzia maswla mengi mno katika internet kwa anwani ifuatayo :
http://www.al-islam.org/sw

Kama utakuwa na maoni, tafadhali usisite kunitumia, tutayatumia siku za mbeleni.

Amiraly M.H. Datoo
29th April 2001
P.O.Box 838,
Bukoba
Tanzania (E.Africa)

Anwani yangu ya e-mail : Datooam@hotmail.com