Table of Contents

Uharamisho wa Uwongo (Juzuu ya Pili)

Makala hii ni sehemu ya pili ya Maudhui ‘kusema uwongo’ na imekusanya hadithi na Aya za Qur’ani zinazoelezea adhabu pamoja na madhara yanayojitokeza katika jamii kwa kusema uwongo. Allah swt atujaalie khofu ya kweli ili tuepukane na kusema uongo. Amen.

Category: 
Miscellaneous information: 
Uharamisho wa Uwongo (Juzuu ya Pili) Kimekusanywa na kutarjumiwa na Amiraly M H Datoo Bukoba - Tanzania