Uislamu Ulienea Vipi?

Kwa Upanga Au Kwa Kuslimu Kwa Hiari
Publisher(s): 

Kijitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya Kiswahihi kutoka Kiingereza. Ni tafsiri pana ya khutba iliyotolewa na mmoja wa wanachuoni wetu mashuhuri wa Kiislamu Sayyid Muhammad Rizvi, katika programu ya TV juu ya “Islam in Focus” ya Mei, 2002 katika lugha ya Kiingereza. Sayyid Muhammad Rizvi hapa anaelezea kwa uhalisi jinsi Uislamu ulivyoenea.

Category: 
Topic Tags: