Ukweli Katika Minyororo (Imamu Ali Naqi [a])

Makali hii inaeleza kwa ufupi maisha ya Imam wa kumi ambaye ni mmoja wa minara ya Uchamungu. Kwa hakika kila Imam alipatwa na mateso mengi kutoka kwa utawala dhalimu. Lakini namna walivyoikabili ni somo kwetu.

Category: 
Miscellaneous information: 
Ukweli Katika Minyororo (Imamu Ali Naqi [a]) Kimeandikwa na Maulana Sayyid Ali Naqi Saheb Kimetafsiriwa na Maalim Dhikiri Omari Kiondo Kimechapishwa na Bilal Muslim Mission of Tanzania S.L.P. 20033 Dar es Salaam - Tanzania