Ulawiti Dhambi Kuu

Makala hii inaeleza kwa upana kuhusu dhambi ya Ulawiti na adhabu watakazozipata wanaojihusisha na jambo hilo.
Katika zama hizi ni muhimu kuwaelimisha jamii hasa vijana ili kuimarisha Imani yao na wao waweze kujiepusha na dhambi hiyo mbaya itakayo athiri afya zao na kuwafanya kuingia Jahannam baada ya kufa.

Translator(s): 
Miscellaneous information: 
Ulawiti Dhambi Kuu Yameandikwa Na: Ayatullah Syed Dastaghib Shirazi (A.R.) Kimekusanywa na kutarjumiwa na Amiraly M H Datoo Bukoba - Tanzania