Ulul Amr Ni Nani

Makala hii inatupa ufahamu kuwa viongozi wa dini ya kiislamu baada ya Mtume Mtukufu [s] ni kina nani. Pia inafafanua kwa aya za Qur’ani  na Hadithi zinazoeleza utii kwa  viongozi hawa.

Translator(s): 
Category: 
Miscellaneous information: 
Kimeandikwa na Sayyid Saeed Akhtar Rizvi Kimetafsiriwa na Maalim Dhikiri Omari Kiondo Kimechapishwa na Bilal Muslim Mission of Tanzania S.L.P. 20033 Dar es Salaam - Tanzania