
Kitabu kilichoko mikononi mwako, ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza, kwa jina la: “Love in Christianity and Islam.” Sisi tumekiita: “Upendo katika Ukirsto na Uislamu. Kitabu hiki, “Upendo katika Ukristo na Uislamu” ni matokea ya utafiti wa kielimu uliofanyika na Mwanachuoni wa Kiislamu, Bi. Mahnaz Heydarpoor.