Orodha Ya Vitabu Vilivyo Chapishwa Na Al-Itrah Foundation:

1. Qur'an Al-Kariim - Tafsir Al-Kashif Juzuu ya kwanza mpaka kumi na sita
2. Uharamisho wa Riba
3. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya kwanza
4. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya pili
5. Hekaya za Bahlul
6. Muhanga wa Imamu Husein (A.S.)
7. Mikingamo iliyomzunguka Imamu Ali (A.S.)
8. Hijab vazi Bora
9. Ukweli wa Shia Ithnaashari
10. Madhambi Makuu
11. Mbingu imenikirimu
12. Abdallah Ibn Saba
13. Khadijatul Kubra
14. Utumwa
15. Umakini katika Swala
16. Misingi ya Maarifa
17. Kanuni za Ndoa na maadili ya Familia
18. Bilal wa Afrika
19. Abudharr
20. Usahihi wa Historia ya Uislamu na Waislamu
21. Salman Farsi
22. Ammar Yasir
23. Qur'an na Hadithi
24. Elimu ya Nafsi
25. Yajue Madhehebu ya Shia
26. Ukusanyaji na Uhifadhi wa Qur'an Tukufu
27. Al-Wahda
28. Ponyo kutoka katika Qur'an.
29. Uislamu mfumo kamili wa maisha ya kijamii
30. Mashukio ya Akhera
31. Al Amali
32. Dua Indal Ahlul Bayt
33. Udhuu kwa mujibu wa Kitabu na Sunna.
34. Haki za wanawake katika Uislamu
35. Mwenyeezi Mungu na sifa zake
36. Amateka
37. Nafasi za Ahlul Bayt (a.s)
38. Adhana.
39. Tabia njema kwa mujibu wa Ahlul Bayt (a.s)
40. Nyuma yaho naje kuyoboka
41. Amavu n’amavuko by’ubushiya

Back Cover

Chimbuko la chuki ni ujinga wa kutowajua wengine; Chimbuko la upendo ni ujuzi wa kuwajua wengine.

Katika kitabu hiki, mwandishi anatoa mchango muhimu sana kwenye uwelewaji wa imani mbili ambazo zimekuwa na matatizo mengi katika kujuana na kupendana kwa karne nyingi.

Katika wakati huu muhimu wa historia, wakati waumini mara kwa mara wanakaririwa na vyombo vya habari kama mashabiki wa dini, Mahnaz Heydarpoor anatuchukua nyuma kwenye kile ambacho ni muhimu katika dini zote mbili, Uislamu na Ukristo: Upendo.

Na kama alivyojihusisha yeye mwenyewe kwa kina katika mazungumzo na Wakristo, kile ambacho kimeandikwa katika kurasa hizi kimesimama si tu juu ya nadharia, bali juu matendo.

Kimetolewa na kuchapishwa na:
Al-Itrah Foundation.
P. O. Box 19701,
Dar-es-Salaam, Tanzania
Simu: + 255 22 2110640 / 2127555
Email: alitrah@raha.com
Website: www.ibn-tv.com