read

Back Cover

Kitabu hiki ni mkusanyiko wa visa vya kweli vya wachamungu mbalim- bali wa Kiislamu.

Visa hivi vimefika kwetu kama viigizo na mafundisho kwa waumini ili nao angalao wapate kufikia kiwango cha uchamungu wa kweli. Ndani ya kitabu hiki mna visa ambavyo huweza kuhuisha nyoyo za waumini na iwapo vitazingatiwa saw sawa, vitamfanya muumini kufanya ibada zake kwa usahihi na kujiamini.

"Basi kumbusha, kwani kukumbusha kunafaa. Atakumbuka mwenye kuo- gopa. Na atajiepusha nako muovu. (Qur'ani, 87:9-11)

Kimetolewa na kuchapishwa na:

Alitrah Foundation

S.L.P. 19701 Dar es Salaam, Tanzania
Simu: +255 22 2110640
Simu/Nukushi: +255 22 212755
Barua Pepe: alitrah@raha.com
Tovuti: www.alitrah.org
Katika mtandao: www.alitrah.info