Welcome

Al-Islam.org needs your financial support to maintain this site & develop new features. Click here to donate generously.

What's New

 • Roho ya Matumaini Sayyidina 'Ali bin Abi Talib (a.s.)

  Makala hii ni Maelezo ya jumla juu ya maisha ya Imam Ali bin Abi Talib. Mwandishi ame gusia matukio yote ya muhimu katika maisha ya Imam (a.s). Wasomaji wapendao kujua machache kuhusu vipengele vya muhimu katika maisha ya Imam wataipenda sana makala hii.

 • Mwenge wa Ukweli - Imamu Ja’afar al-Sadiq

  Makala hii ina eleza kwa ufupi matukio yaliyo tokea katika maisha ya Imamu Ja’afar as-Sadiq (a.s.) ambaye ni mrithi wa sita wa Mtume (s.a.w.w). Kikubwa ni ukoo wa Bani Abbasi kuangusha utawala wa Bani Umayyah na kutawala Ummah wa kiislamu. Ahadi yao ilikuwa kurudusha haki ya utawala kwa warithi wa Haki lakini hawaku fanya hivyo, walitawala wenyewe na pia walifanya dhuluma nyingi dhidi ya Bani Hashim yaani Ukoo wa Mtume (s.a.w.w). Na Hatimaye waliwa ua kwa kuwapa sumu.

 • Dhambi Kuu La Kutokulipa Zaka, Khums na Sadaqah

  Kitabu hiki kinazungumzia wajibu wa Kiislamu wa malipo ya Zakah na Khums, msingi wake katika Qur'an na Dini, mipaka yake kisheria, na adhabu kwa mtu asietoa Zakah na Khums ziilizofaradhishwa.

 • Ndoa Katika Islam

  Katika Uislamu ndoa ni jambo lililokokotezwa sana kutokana na umuhimu wake katika kuijenga na kuiendeleza jamii. Taarifa za ndani ya kitabu hiki cha mwongozo zimeegemea kwenye vyanzo sahihi na vya asili vya mafundisho ya Mtukufu Mtume (s.a.w.w) na Ahlul-Bayt wake (a.s). Na ingawa kimeandikwa kwa mtazamo wa Kiislamu, lakini ni kitabu ambacho kitawafaa sana hata wasio Waislamu, kwani kinazungumzia maisha ya ndoa kwa ujumla.

 • Mwenge Wa Haki

  Makala hii ni mazungumzo na majadiliano kati ya mtawala (wa ukoo wa Abbassid) Ma'mun al-Rashid na wanachuoni mashuhuri katika zama hizo juu ya "ubora wa Seyyidna Ali bin Abi Talib (a.s) ikilinganishwa na Masahaba wengine wa Mtume Mtukufu (s.a.w.w)." Msomaji atanufaika sana na maelezo haya. [Pia kuna neno la lugha ya Kiurdu lililo tumika katika makala hii; neno hilo ni 'Hazrat'; imetumika wakati wa kuwataja watu wenye hadhi yaani kwa mfano, badala ya kusema 'Seyyidina Ali' au 'Nabi Musa' sehemu nyingi wametajwa kama Hazrat Ali (H. Ali) na H. Musa; imeelezwa hayo ili msomaji asighafilike].

 • Mwelekeo Katika Kutafsiri Ugaidi (Terrorism)

  Mwelekeo Katika Kutafsiri Ugaidi (Terrorism) Makala haya yameandikwa na: Shaykh Muhammad 'Ali Taskhiri Yametarjumiwa na: Amiraly M.H. Datoo (PO Box 838 Bukoba, Tanzania) Pande Mbili Zinapo Pingana, Kila Mmoja Humwita Mwenzake Kuwa Ni Mgaidi Sasa Je Mgaidi Ni Nani Baina Yao ? Tusome... Azimio 20/5 - (I.S) la Mkutano Mkuu wa tano uliunga mkono wazo la kuitisha Baraza la Kimataifa chini ya Umoja wa Mataifa ili kuzungumzia swala la ugaidi wa kimataifa na kuweza kufafanua na kutofautisha baina ya harakati za wananchi kwa kutambua haki zao za kitaifa na ule ukombozi wa ardhi zao. Hivyo inamaanisha kuwa sisi, katika kikao hiki tuzingatie hatua zifuatazo: • Turejee kwanza kabisa katika vianzo vya Islam ili kutengeneza hoja madhubuti, kutambulisha misingi kwa mujibu wa malengo na matendo ya kibinadamu yakadiriwavyo, na kubuni misingi juu ya uamuzi wetu katika masuala mbalimbali. • Kuchunguza hali halisi ya maumbile ya binadamu yasiyokuwa na tuhuma yoyote ili kuweza

 • Mbingu Imenikirimu

  Kitabu hiki kina eleza kwa ufupi kuhusu Imani-itikadi ya mashi’a, pia kinajibu tuhuma wanazoelekezwa wafuasi wafuasi wa Ahlul bayt a.s. yaani mashi’a. Mada zilizojadiliwa zinaeleweka na msomaji wa kiwango chochote cha elimu. Vitabu vilivyo tumiwa kutoa ushahidi (wa majibu) zinakubaliwa na Madhehebu zote na rejea zimenukuliwa kutoka vitabu sahihi vya Kisunni.

 • Mwanamke Mshiriki wa Maisha

  Mwandishi wa makala hiyo anaeleza kuwa kimaumbile, mwanamme na mwanamke hawa wezi kufanya kazi za aina moja bali wamepangiwa majukumu mbali mbali na muumba. Kwa hiyo ni vyema kila mmoja ashike wadhifa yake ili kuboresha jamii na vizazi vijavyo. La sivyo, jamii haitaweza kupata maendeleo ya kiroho bali itadidimia hata kiafya na kimawasiliano.

 • Umuhimu wa Hijab

  Kujifunika kwa mwanamke wa Kiislamu ni jambo la muhimu sana lakini jamii kwa ujumla hu-uliza maswali mengi kuhusu kwa nini mwanamke wa Kiislamu huvaa hijaab. Kitabu hiki ni jibu la maswali yote kuhusiana na hijaab. Hakuna shaka kuwa Wasomaji watafaidika kukisoma.

 • Mfungwa Adhimu - Imam Hasan al-Askari (a.s.)

  Hadith za Mtume (S) katika vitabu vyote vya sahihi zinasema kwamba warithi wake watakuwa 12. Hapa tuna historia fupi na sahihi ya Imam wa kumi na mmoja ambayo inaeleza jinsi yeye alishughulikia hali ya wasiwasi katika kipindi chake kifupi cha uimamu na pia ameweza kujenga mahusiano mazuri sana na Ummah. Tunapata mafunzo mengi kwa kusoma maisha yake.

Mpya/ngeni katika Uislamu?

Kugundua Uislamu kwa kuvinjari kwa kuchaguwa vyanzo (material) kutoka maktaba yetu iliyo sahihi hasa kwa wale ambao kwao Uislamu ni mpya/geni . Kutambulisha Uislamu | Desturi za Waislamu | Maisha ya Kiroho | Uislamu na Ukristo | Kubadilika na kuwa Mwislamu

Ni nani Shi'a na Sunni?

Kuelewa ufanano/uweo na tofauti kati ya fikira kuu mbili [ya mawazo] katika Uislamu, na kujua zaidi kuhusu Uislamu kama ilivyo fundishwa na Mtume na familia yake. Kuwa tambulisha Ahlul bayt (Familia ya Mtume (S) | Umoja kati ya Shi’a na Sunni | Imani ya Shi’a Kuelezwa | Mijadala & Majadiliano | Majibu ya Imani Potofu | Kwa nini wakawa Shi'a | Vyanzo kwa ajili ya Utafiti Zaidi

Muharram na Karbala

Vyanzo vinavyohusiana na Mwezi wa Muharram, na Janga ya Karbala History of Ashura | Imam Husayn and his Martydom | The Excellences of the Imam Husayn in Sunni Hadith Tradition | Mukhtar al-Thaqafi | The Revolution of Imam al-Husayn (a)

Timeline

Sign up for Al-Islam.org newsletter

Sign up to get notified when new books & articles are added to Al-Islam.org

Our Sub Projects