Orodha Ya Vitabu Vilivyo Chapishwa Na Al-Itrah Foundation:

1. Qur'an Al-Kariim - Tafsir Al-Kashif Juzuu ya kwanza mpaka kumi na sita
2. Uharamisho wa Riba
3. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya kwanza
4. Uharamisho wa uwongo Juzuu ya pili
5. Hekaya za Bahlul
6. Muhanga wa Imamu Husein (A.S.)
7. Mikingamo iliyomzunguka Imamu Ali (A.S.)
8. Hijab vazi Bora
9. Ukweli wa Shia Ithnaashari
10. Madhambi Makuu
11. Mbingu Imenikirimu
12. Abdallah Ibn Saba
13. Khadijatul Kubra
14. Utumwa
15. Umakini katika Swala
16. Misingi ya Maarifa
17. Kanuni za Ndoa na maadili ya Familia
18. Bilal wa Afrika
19. Abudharr
20. Usahihi wa Historia ya Uislamu na Waislamu
21. Salman Farsi
22. Ammar Yasir
23. Qur'an na Hadithi
24. Elimu ya Nafsi
25. Yajue Madhehebu ya Shia
26. Ukusanyaji na Uhifadhi wa Qur'an Tukufu
27. Al-Wahda
28. Ponyo kutoka katika Qur'an.
29. Uislamu mfumo kamili wa maisha ya kijamii
30. Mashukio ya Akhera
31. Al Amali
32. Dua Kwa Mujibu wa Ahlul Bayt
33. Adhana kwa mtazamo wa Qur’ani na Sunna
34. Haki za wanawake katika Uislamu
35. Mwenyezi Mungu na sifa zake
36. Amateka
37. Nafasi za Ahlul Bayt (a.s)
38. Adhana.
39 Upendo katika Ukristo na Uislamu
40. Nyuma yaho naje kuyoboka
41. Amavu n’amavuko by’ubushiya
42. Je, Kufunga Mikono Ni Bidaa au Sunna? Kwa Mtazamo wa Qur’ani na Sunna
43. Kukusanya sala mbil

Back Cover

"Udhuu Kwa Mtazamo Wa Qur'ani Na Sunnah"

Imekuwa ni kawaida ya watu kukubali kila jambo linalofanywa na watu katika jamii wanayoishi bila ya hoja yoyote; jambo hilo liwe zuri au baya. Na hii hutokana na kukaririka kwa jambo kwa muda mrefu mpaka linakuwa ni mazoea ya watu.

Hivyo inapotokea watu fulani wachache katika jamii kufanya jambo kinyume na vile walivyozoea, huwashangaa watu wale na kulikana jambo hilo bila kuchunguza uzuri au ubaya wake. Na hoja yao ni kwamba jambo hilo halifanywi na watu wengi, wanasahau kwamba wingi sio hoja.
Hoja ni maneno yaliyokamilika kielimu, kiakili na kimantiki.

Wanachuoni wa Kiislamu wanatofautiana juu ya kutawdha miguu. Wengi wa wanachuoni wa Kisunni wamejuzisha kuosha miguu, ambapo wanachuoni wa Kishia wamjuzisha kupaka. Ipi ni njia sahihi, jibu utalipata katika kitabu hiki, ambalo mwandishi amelifikia kwa kutumia Qur'an na Sunnah, vyanzo viwili ambavyo ni chimbuko la sheria na hukuma zote za dini kwa madhehebu zote za kiislamu

Kimetolewa na Kuchapishwa na:
Alitrah Foundation
S.L.P. 19701 Dar es Salaam, Tanzania
Simu: +255 22 2110640 / 2127555
Barua Pepe: alitrah@raha.com
Tovuti: www.ibn-tv.com