read

Sura Ya Kumi Na Tatu: Ar-Ra’d

Imeshuka Madina ina Aya 43

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ

Kwa jina la Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema Mwenye kurehemu

المر ۚ تِلْكَ آيَاتُ الْكِتَابِ ۗ وَالَّذِي أُنْزِلَ إِلَيْكَ مِنْ رَبِّكَ الْحَقُّ وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لَا يُؤْمِنُونَ {1}

Alif Laam Raa. Hizo ni Aya za Kitabu. Na uliyoteremshiwa kutoka Mola wako ni haki lakini watu wengi hawaamini.