read

Sura ya Kumi na Tisa: Maryam

Imeshuka Makka ina Aya 98.

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ


Kw


a


jin


a


l


a


Mwenyez


i


Mungu


Mwing


i


w


a r


ehem


a


Mwenye


Ku


r


ehemu.

كهيعص {1}


Kaaf



Haa



Y


aa



A


’yn



Swaad.

ذِكْرُ رَحْمَتِ رَبِّكَ عَبْدَهُ زَكَرِيَّا {2}


Huu



ni



ukumbusho



wa



r


ehema ya Mola wako kwa mja wake



Zakariya.

إِذْ نَادَىٰ رَبَّهُ نِدَاءً خَفِيًّا {3}


Alipomuomba Mola wake kwa



siri.

قَالَ رَبِّ إِنِّي وَهَنَ الْعَظْمُ مِنِّي وَاشْتَعَلَ الرَّأْسُ شَيْبًا وَلَمْ أَكُنْ بِدُعَائِكَ رَبِّ شَقِيًّا {4}


Akasema: Mola wangu! Mfupa wangu umedhoofika, na kichwa kiname


r


emeta kwa mvi. Mola wangu! Sikuwa mwenye bahati mbaya kwa kukuomba



wewe.

وَإِنِّي خِفْتُ الْمَوَالِيَ مِنْ وَرَائِي وَكَانَتِ امْرَأَتِي عَاقِرًا فَهَبْ لِي مِنْ لَدُنْكَ وَلِيًّا {5}


Na



mimi



nahofia



jamaa



zangu baada yangu na mke wangu ni tasa. Basi nipe mrithi kutoka kwako.

يَرِثُنِي وَيَرِثُ مِنْ آلِ يَعْقُوبَ ۖ وَاجْعَلْهُ رَبِّ رَضِيًّا {6}


Atakayenirithi mimi na arithi ukoo



wa


Y


a’qub.



Ewe



Mola


wang


u


mjaaliy


e


mwenye


kuridhisha.