read

Aya 77 – 87: Je, Umemuona Aliyezikana Ishara Zetu

Maana

Je, umemuona aliyezikana ishara zetu na akasema: Hakika mimi nitapewa mali na watoto.

Imeelezwa katika Hadith na tafsiri kwamaba A’si bin Wail, mzazi wa Amru bin Al’as, aliposikia kuhusu utume, alisema kwa stihzai: Bila shaka mimi huko akhera nitapewa mali na watoto.

Lakini dhahiri ya tamko la Aya linaonyesha kuwa kuna mzandiki fulani aliyesema hivi; ama kuwataja watu majina, hiyo si katika njia ya Qur’an. Mfano wa Aya hii ni kauli ya yule mwenye kitalu aliyesema:

وَلَئِنْ رُدِدْتُ إِلَىٰ رَبِّي لَأَجِدَنَّ خَيْرًا مِنْهَا مُنْقَلَبًا {36}


“Na kama nitarudishwa kwa Mola wangu bila shaka nitapata marejeo bora zaidi



kuliko



haya.”



Juz.



15



(18:36).

Ameirudi Mwenyezi Mungu kauli hii kwa kusema:

Kwani yeye amepata habari za ghaibu au amechukua ahadi kwa Mwingi wa rehema.

Amepata wapi habari hizi? Au yeye ana funguo za siri au amechukua ahadi na Mwenyezi Mungu katika hilo?

Hapana! si hivi wala hivyo; isipokuwa yeye ni kafiri muovu. Tutaandika anayoyasema na tutamkunjulia muda wa adhabu Tumezihifadhi kauli zake na tutamzidishia adhabu zaidi ya kufuru yake na uzushi wake.

Na tutamrithi hayo anayoyasema na atatufikia akiwa peke yake, akiwa mtupu na pia tutamnyng’anya mali na watoto alio nao, pale anapokufa na kuangamia na tutamfufua siku ya kiyama akiwa peke yake mtupu; sawa na tulivyomuumba mara ya kwanza.

Na wamechukua miungu mingine ili iwape nguvu. Sivyo kabisa! Kwa sababu mwenye kutaka nguvu kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu, basi Mungu humvisha vazi la udhalili.

Wataikataa ibada yao na watakuwa ndio dhidi yao

Yaani hao wanawaabudu wataikataa ibada yao na watakuwa dhidi yao. Tafsiri inayofafanua zaidi Aya hii ni kauli ya Imam Ali (a.s.), katika Nahjulbalagha: Sio mbali anayefuatwa atajitenga na mfuasi na kiongozi na anayeongozwa watafarikiana kwa chuki na watalaaniana watakapokutana.

Mwenyezi Mungu naye amesema:

تَبَرَّأْنَا إِلَيْكَ ۖ مَا كَانُوا إِيَّانَا يَعْبُدُونَ {63}



T


unajitenga nao mbele yako. Hawakuwa wakituabudu sisi” (28:63);bali walikuwa



wakiabudu



hawa



zao



na



malengo



yao.

Kwani huoni kwamba tumewatuma mashetani kwa makafiri wawa- chochee kwa uchochezi.

Maana ni kuwa Mwenyezi Mungu (s.w.t.) haingilii kati baina yao na mashetani wanowapa wasiwasi na kuwahadaa na maasi, wala hajiingizi, kwa uweza wake wa kufanya, kumzuia shetani; isipokuwa amewabainishia njia ya kheri na shari na kuwapa uwezo kamili wa kutenda na kuwaacha; anawakataza hili na kuwaamrisha lile; kisha anawaachia hiyari katika watakayoyatenda na kuyaacha.

Kama angeliwanyanyag’anya utashi, basi wangelikuwa wao na miti ni sawa.

Basi usiwafanyie haraka. Sisi tunawahisabia siku.

Yaani, ewe Muhammad, usiwe na haraka ya kuangamia makafiri, kwani maangamizi yao yatakuja tu, lakini Mwenyezi Mungu anawangoja mpaka muda uliotajwa, ili avidhibiti vitendo vyao, kisha aje awalipe, wanayostahili. Kwani hakuna kheri ya kurefuka maisha isipokuwa kwa yule anayeamini na akatenda amali njema, lakini mwenye kukufuru na akafanya maovu, basi maisha yake ni balaa:

وَلَا يَحْسَبَنَّ الَّذِينَ كَفَرُوا أَنَّمَا نُمْلِي لَهُمْ خَيْرٌ لِأَنْفُسِهِمْ ۚ إِنَّمَا نُمْلِي لَهُمْ لِيَزْدَادُوا إِثْمًا ۚ وَلَهُمْ عَذَابٌ مُهِينٌ {178}



W


ala wasidhanie kabisa wale waliokufuru kwamba muda tunaowapa ni kheri kwa nafsi zao. Hakika tunawapa muda na wanazidi tu katika dhambi na



wana



adhabu



idhalilishayo.”



Juz.



4



(3:178).

Siku tutakyowakusanya wenye takua kuwa ni wageni wa Mwingi wa rehema

Neno lililotumika katika kufasiri wageni limetokana na neno la kiarabu wafd lenye maana ya wageni wa heshima. Maana ni kuwa wale wanaomtii Mwenyezi Mungu, kesho watakuwa ni wageni wenye kutukuzwa.

Na tutawachunga wahalifu kuwapeleka Jahannam halia ya kuwa na kiu

Waumini watapata makaribisho ya heshima na wahalifu watapata makaribisho ya dharau, kuchungwa kama wanyama wanavyochungwa kwenda kunywa maji; ndivyo wahalifu nao watachungwa kupelekwa kwenye Jahannam.

Hawatakuwa na mamlaka ya uombezi ila wale waliochukua ahadi kwa Mwingi wa rehema.

Kila mwenye kutekeleza ahadi ya Mwenyeezi Mungu na wala asimfanyie hiyana kwenye dogo wala kubwa, basi Mwenyezi Mungu amempa ahadi ya kufuzu na kuokoka na uombezi:

وَأَوْفُوا بِعَهْدِي أُوفِ بِعَهْدِكُمْ وَإِيَّايَ فَارْهَبُونِ {40}


“Na



tekelezeni



ahadi



yangu



nitatekeleza



ahadi



yenu.”



Juz.



1



(2:40)

وَقَالُوا اتَّخَذَ الرَّحْمَٰنُ وَلَدًا {88}


N


a


wanasem


a


Mwing


i


wa


r


ehema



ana



mwana.

لَقَدْ جِئْتُمْ شَيْئًا إِدًّا {89}


Hakika mmeleta



jambo



la kuchusha.

تَكَادُ السَّمَاوَاتُ يَتَفَطَّرْنَ مِنْهُ وَتَنْشَقُّ الْأَرْضُ وَتَخِرُّ الْجِبَالُ هَدًّا {90}


Zinakurubia



mbingu



kutatuka kwa hilo na ardhi kupasu


k


a


n


a


milim


a


kuanguka


vipande



vipande

أَنْ دَعَوْا لِلرَّحْمَٰنِ وَلَدًا {91}


Kwa kudai kwao kuwa Mwingi wa rehema ana mwana.

وَمَا يَنْبَغِي لِلرَّحْمَٰنِ أَنْ يَتَّخِذَ وَلَدًا {92}


Hahitajii



Mwingi



wa



r


ehema kuwa



na



mwana.

إِنْ كُلُّ مَنْ فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ إِلَّا آتِي الرَّحْمَٰنِ عَبْدًا {93}


Hakuna



yeyote



aliyemo



mbin


gun


i


n


a


ardhin


i


il


a


atafika


kwa



Mwingi



wa


r


ehema



kuwa ni



mtumwa.

لَقَدْ أَحْصَاهُمْ وَعَدَّهُمْ عَدًّا {94}


Hakik


a


amewadhibit


i


na


amewahisabu



sawa



sawa.

وَكُلُّهُمْ آتِيهِ يَوْمَ الْقِيَامَةِ فَرْدًا {95}


Na



kila



mmoja



kati



yao



atam


fiki


a


sik


u


y


a


Kiyam


a


peke


yake

إِنَّ الَّذِينَ آمَنُوا وَعَمِلُوا الصَّالِحَاتِ سَيَجْعَلُ لَهُمُ الرَّحْمَٰنُ وُدًّا {96}


Hakika wale ambao wameamini na wakatenda mema Mwingi wa rehema atawajaalia



mapenzi.

فَإِنَّمَا يَسَّرْنَاهُ بِلِسَانِكَ لِتُبَشِّرَ بِهِ الْمُتَّقِينَ وَتُنْذِرَ بِهِ قَوْمًا لُدًّا {97}


Hakika



tumeifanya



nyepesi,


kw


a


ulim


i


wak


o


ili uwabashiri


e


kway


o


wenye taku


a


n


a


uwaony


e


kwayo


wabishi

وَكَمْ أَهْلَكْنَا قَبْلَهُمْ مِنْ قَرْنٍ هَلْ تُحِسُّ مِنْهُمْ مِنْ أَحَدٍ أَوْ تَسْمَعُ لَهُمْ رِكْزًا {98}


N


a


karn


e


ngapi


tumeziangamiz


a


kabl


a


yao.


Je


,


unawaon


a


hat


a


mmoja


katika wao au unasikia hata mchakato



wao?