read

Sura Ya Ishirini: Twaha

Imeshuka Makka, ina Aya 135

بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ


Kw


a


jin


a


l


a


Mwenyez


i


Mungu


Mwing


i


w


a r


ehem


a


Mwenye


Ku


r


ehemu

طه {1}


T


waha

مَا أَنْزَلْنَا عَلَيْكَ الْقُرْآنَ لِتَشْقَىٰ {2}



Hatukukute


r


emshia



Qu


r


’an



ili upate



mashaka.

إِلَّا تَذْكِرَةً لِمَنْ يَخْشَىٰ {3}


Ispokuw


a



n


i



mawaidh


a



kwa


wenye



kunyenyekea.

تَنْزِيلًا مِمَّنْ خَلَقَ الْأَرْضَ وَالسَّمَاوَاتِ الْعُلَى {4}


Ute


r


emsh


o


utoka


o


kwa


aliyeumb


a


ardh


i


n


a


mbingu


zilizo



juu.

الرَّحْمَٰنُ عَلَى الْعَرْشِ اسْتَوَىٰ {5}


Mwenyezi



Mungu



ametawala juu



ya



Arshi.

لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ وَمَا بَيْنَهُمَا وَمَا تَحْتَ الثَّرَىٰ {6}


Ni



vyake



vilivyo



katika



mbingu


n


a


katik


a


ardh


i


n


a


vilivyo


baina yao na vilivyo chini ya mchanga

وَإِنْ تَجْهَرْ بِالْقَوْلِ فَإِنَّهُ يَعْلَمُ السِّرَّ وَأَخْفَى {7}


Na



ukiinua



sauti



kwa



kusema, basi yeye anajua siri na yanayofichika



zaidi.

اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ ۖ لَهُ الْأَسْمَاءُ الْحُسْنَىٰ {8}


Mwenyezi Mungu



hapana Mola



ila


Y


eye. Ana



majina mazuri