read

17. Msimrudishe Anaye Kuja Kuomba Usiku

Al Imam Ja'afer as-Sadiq a.s. amenakili riwayah kutoka kwa mababu zake a.s. kuwa Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w. alikuwa akisema:
“Pale anapokuja mtu yeyote usiku kugonga mlango kwa nia ya kuomba msaada, basi msimvunje moyo, msaidieni na hasa inapokuwa mwombaji aliyekuja ni mwanaume.”