
Kitabu hiki kinazungumzia wajibu wa Kiislamu wa malipo ya Zakah na Khums, msingi wake katika Qur'an na Dini, mipaka yake kisheria, na adhabu kwa mtu asietoa Zakah na Khums ziilizofaradhishwa.
Dhambi Kuu La Kutokulipa Zaka, Khums na Sadaqah
Kimeandikwa na
Syed Dastaghib Shirazi
Kimetarjumiwa na kuhaririwa na
Amiraly M. H. Datoo
Bukoba - Tanzania