Prophethood & Imamate - Belief & Creed

Ulul Amr Ni Nani

Makala hii inatupa ufahamu kuwa viongozi wa dini ya kiislamu baada ya Mtume Mtukufu [s] ni kina nani. Pia inafafanua kwa aya za Qur’ani  na Hadithi zinazoeleza utii kwa  viongozi hawa.