Sunni & Shi’a - Belief & Creed

Ukweli Uliopotea - Sehemu ya Tano

Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiarabu kiitwacho al-Haqiqatu ‘dh-Dha’i’ah kilichoandikwa na Sheikh Mu’tasim Sayyid Ahmad. Sisi tumekiita, Ukweli Uliopotea.

Mikesha Ya Peshwaar

Kitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya kitabu cha Kiingereza kiitwacho, Peshawar Nights. Asili ya kitabu hiki ni cha lugha ya Kifarsi kwa jina la, Shab’ha-ye Peshawar.

Madhehebu Ya Kishia

Madhehebu Ya Kishia

4,458 0

Barua ya Wazi kwa Mawahhabi (1-10)

Mwanzo mwanzo wa mwezi huu (Muharram 1424), hapa Mombasa, pametolewa karatasi zenye kichwa cha habari "Barua ya wazi kwa wahubiri na ma-imamu wa sunna".

Kwa nini Shi’ah?

Makala hii inaeleza kwa mapana maana ya neno Shi'ah na namna lilivyotumika katika Qur’an na katika Hadithi za Mtukufu Mtume (s.a.w.w.).

1,639 0

Meza ya Uchunguzi

Misingi ya Imani ya mashia imeelezwa katika vitabu vya pande zote yaani katika vitabu viaminiwavyo na Masunni na pia vya Kishia.

Muongozo wa Wasomao

Hii Kitabu imechanganya maudhui nyingi tofauti kwa muhtasari. Imeelezea na kufufunua yaliofichikana au kuhafimika kimakosa katiak tarikh na kujibu na ayah tofauti za Msahafu na Hadithi.

Mfungwa Adhimu - Imam Hasan al-Askari (a.s.)

Hadith za Mtume (S) katika vitabu vyote vya sahihi zinasema kwamba warithi wake watakuwa 12.

Mbingu Imenikirimu

Kitabu hiki kina eleza kwa ufupi kuhusu Imani-itikadi ya mashi’a, pia kinajibu tuhuma wanazoelekezwa wafuasi wafuasi wa Ahlul bayt a.s. yaani mashi’a.

826 0

Tadwin Al Hadith

Hadithi ni chanzo cha pili muhimu cha Sheria na Hukmu katika uislam.

Wito Kwa Waislamu Kuuendea Ukweli

Makala haya yanaeleza kwa kina kuwa mrithi wa haki wa Mtume (s.a.w.w.) baada yake ni nani na dalili zote zime tolewa kutoka vitabu vya Sahihi na vinavyo tegemewa na kurejewa.