Women - Education & Society

Haki za Wanawake Katika Uislamu

Mahitaji ya zama zetu hizi yanamlazimisha kutathmini maswali mengi yenye umuhimu na sio kuridhika na tathmini zake za awali.

Hukumu za Kifikihi Zinazowahusu Wanawake

"Ni jambo la wajibu juu ya kila mtu kujiunza masiala ambayo yanamtokea mara kwa mara." (Hii ni kauli ya wanavyuoni wa kifikihi iliyodondolewakutoka vitabu vya fatwa au hukumu za kifikihi).

Khadija-tul-Kubra

Maisha ya Khadija yamejaa utajiri wa mwongozo wa kimungu. Sifa yake kubwa katika maisha yake ya kiutakatifu, ilikuwa ni imani yake isiyo na kifani katika Uislamu.

Umuhimu wa Hijab

Kujifunika kwa mwanamke wa Kiislamu ni jambo la muhimu sana lakini jamii kwa ujumla hu-uliza maswali mengi kuhusu kwa nini mwanamke wa Kiislamu huvaa hijaab.